Hio hukumu ya huyo jaji ilichanwa mwaka gani? Inawezekana ilichanwa kabla hio hanang haijamegwaKumbe Hanang ipo Arusha?
Jiografia ya Tanzania huijui wewe
Manyara imemegwa kutoka Arusha sumaye akiwa waziri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio hukumu ya huyo jaji ilichanwa mwaka gani? Inawezekana ilichanwa kabla hio hanang haijamegwaKumbe Hanang ipo Arusha?
Jiografia ya Tanzania huijui wewe
Manyara imemegwa kutoka Arusha sumaye akiwa waziri mkuu
Mgeta aliteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu mwaka 2012, enzi za JK wa pili.Hio hukumu ya huyo jaji ilichanwa mwaka gani? Inawezekana ilichanwa kabla hio hanang haijamegwa
Km ni ivo bila shaka atakuwa mzee mamviMgeta aliteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu mwaka 2012, enzi za JK wa pili.
Wakili wa Lulu ateuliwa kuwa Jaji
RAIS Jakaya Kikwete amemwapisha kuwa Jaji wakili wa kujitegemea, Joaquine De-Mello ambaye alikuwa akimtetea msanii wa filamu Elizabeth Mic...maganga-resources.blogspot.com
Ila Sasa Cha kushangaza "mamvi" kakaa kwenye kiti miaka miwili na miezi kadhaa akaondoka(2005-2008)Km ni ivo bila shaka atakuwa mzee mamvi
Duh! Si mchezoIla Sasa Cha kushangaza "mamvi" kakaa kwenye kiti miaka miwili na miezi kadhaa akaondoka(2005-2008)
Awamu ya pili ya JK wakati huo waziri "mkubwa" alikuwa mzee wa "utapigwa tu"
Na wakati Jaji Mgeta anateuliwa Mzee wa "utapigwa tu" ndio alikuwa ameshika hatamu
So yawezekana Jaji katumia "code" fulani anazozijua yeye tu labda na wale waliosomea Cuba , ukizingatia Mzee wa utapigwa tu ametokea mkoa ambao umemegwa toka ule mkoa unaosifika kwa 'ndumba" kwa kina majiyatanga
So maybe yawezekana hata akawa "sukununu"
Yaani labda alikuwa Arusha kimampuziko "vacation".
Kweli kabisaMkuu, naungana nawe. Jaji aliyetoa taarifa inawezekana mlengo wake ulikuwa ni kuonesha muingiliano wa mihimili au kutoheshimiwa kwa muhimili wa mahakama dhidi ya mihimili mingine. Ila alichokizungumza kimeshindwa kuonesha hicho alichokuwa amekitarajia kukionesha.
Mikanganyiko kama hii haileti tija kwa jamii zaidi ya kupotosha. Mfano hapo, kwa alichokizungumza, ameua mara 100 imani ya wananchi kwa Mahakama kuliko angeisema habari hiyo kwa kuibeba mahakama, mfano angesema, "Nilichekeshwa na kitendo cha waziri mstaafu kuchana nakala ya hukumu niliyoandika kwa sababu tu haikumfurahisha. Sisi Mahakama hatupo kuwafurahisha watu, tupo kwa ajili ya kusaidia utoaji wa haki kwa wananchi. Na ndio maana hukumu ile iliyochanwa na waziri bado ilitekelezwa vilevile kama nilivyoitoa bila kujali kama inamuudhi au kumfurahisha mheshimiwa waziri". Maneno kama haya ndio yanayojenga imani ya wananchi na ndio ukweli /uhalisia.