Jaji Mgeta: Niliumizwa na Waziri Mkuu kuchana Hukumu ya kesi niliyotoa kuwa kashindwa

Kumbe Hanang ipo Arusha?
Jiografia ya Tanzania huijui wewe
Manyara imemegwa kutoka Arusha sumaye akiwa waziri mkuu
Hio hukumu ya huyo jaji ilichanwa mwaka gani? Inawezekana ilichanwa kabla hio hanang haijamegwa
 
Hio hukumu ya huyo jaji ilichanwa mwaka gani? Inawezekana ilichanwa kabla hio hanang haijamegwa
Mgeta aliteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu mwaka 2012, enzi za JK wa pili.
 
Km ni ivo bila shaka atakuwa mzee mamvi
Ila Sasa Cha kushangaza "mamvi" kakaa kwenye kiti miaka miwili na miezi kadhaa akaondoka(2005-2008)
Awamu ya pili ya JK wakati huo waziri "mkubwa" alikuwa mzee wa "utapigwa tu"
Na wakati Jaji Mgeta anateuliwa Mzee wa "utapigwa tu" ndio alikuwa ameshika hatamu
So yawezekana Jaji katumia "code" fulani anazozijua yeye tu labda na wale waliosomea Cuba , ukizingatia Mzee wa utapigwa tu ametokea mkoa ambao umemegwa toka ule mkoa unaosifika kwa 'ndumba" kwa kina majiyatanga
So maybe yawezekana hata akawa "sukununu"
Yaani labda alikuwa Arusha kimampuziko "vacation".
 
Duh! Si mchezo
 
Kweli kabisa
 
Alopeleka hati ya maamuzi ya mahakama nae sidhani iwapo alikuwa msafi - kada hiyo iajua yenyewe ukweli kuhusu hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…