Jaji Mihayo: Wasimamizi wa Uchaguzi wasipokee maagizo ya kuvuruga Uchaguzi kutoka kwa Viongozi wa Serikali

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hatupendi UONGO sisi kwani JECHA alipokea maagizo ya kufuta uchaguzi kutoka kwa nani!? MABEBERU?
EBOO! Aache UNAFIKI WAKE! Tume Huru tu ndiyo SULUHISHO LA WIZI.

 
Tume huru bila kurekebisha katiba na sheria inayoiunda tume yenyewe ?! Wapi na wapi !!
 
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu lakini hawa wahuni wamefanya uhuni wao kwa miaka mitano na muda uliobaki hautoshi kupata katiba mpya na hakuna ubaya tukianza na TUME HURU kwa hilo muda wa kutosha upo.

Msikilize huyu MNAFIKI hapa.


Tume huru bila kurekebisha katiba na sheria inayoiunda tume yenyewe ?! Wapi na wapi !!
 
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu lakini hawa wahuni wamefanya uhuni wao kwa miaka mitano na muda uliobaki hautoshi kupata katiba mpya na hakuna ubaya tukianza na TUME HURU kwa hilo muda wa kutosha upo.

Msikilize huyu MNAFIKI hapa.

Kama akiyatenda haya anayo yasema kwenye hii clip ujue ameshinikizwa na mabeberu, haitakuwa kwa hiari yake.
 
Danganya toto, na zaidi, tuitumie kauli hii kujiandaa kisaikolojia
Salary Slip
Kwani unadhani kila aliyeko kwenye "system" anapenda kulea upuuzi huu wa kupokea maagizo kutoka kwa hawa watawala wa CCM?

Wengi wao nafsi zao zinawasuta kutokana na watawala wao kutotenda haki.......

Mmojawapo wa watu hao ni huyo Jaji Mihayo, ambaye asingependa mambo yatakapoenda vibaya, yeye aingie lawama.......

Ndiyo maana ameamua kutoa angalizo hilo LIVE
 
Wacha tusubiri muda ufike.
 
Mkuu usiwaamini hawa! Ulimsikia kutia neno kuhusu sheria haramu na ya kidikteta kwamba maovu wanayotenda wakiwa madarakani yasitumiwe kwa wao kupandishwa kizimbani!?

Kama akiyatenda haya anayo yasema kwenye hii clip ujue ameshinikizwa na mabeberu, haitakuwa kwa hiari yake.
 
Kweli kabisa Ni usanii TU wa mchana kweupee..na Kuzuga.Ni sawa TU na matangazo yaliyobandikwa kwenye milango ya offices za kwenye vituo vya police,au TRA,MAHAKAMANI,n.k. yanayosomeka"Hatupokei Rushwa"..Sasa,utakapoingia Humo ndani ya hizo office kutaka kuhudumiwa,ndo utajua Kama 'kachumbari Ni mboga au SIO mboga'.
 
Kama wanataka Uhuru na uhaki waweke tume huru. Vinginevyo ni unafiki mtupu
 
Trust none, doubt everything. Ni kanuni ya mtu makini.
 
Waliomua Gaddafi nawafananisha na Wana Chadema wao kila kitu si jambo jema kwao ni kupinga tu narudia kusema hawa ni Malofa na Wapumbavu
 
Hivi kumbe wanaujua ukweli kwamba wasimamizi wa uchanguzi huwa wanapokea maagizo ya hovyo kutoka kwa viongozi wa serikali? hakuna uchaguzi hapo ni maigizo tupu
 
Kauli ni tofauti na matendo. Kusema ni kitu kimoja na kutenda ni kitu kingine. Mfano, Tanzania ni yetu wote, lakini matendo ni CCM kwanza.
Ili upate uteuzi lazima uwe kada bila kujali uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…