BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
ππππππ Hatupendi UONGO sisi kwani JECHA alipokea maagizo ya kufuta uchaguzi kutoka kwa nani!? MABEBERU?
EBOO! Aache UNAFIKI WAKE! Tume Huru tu ndiyo SULUHISHO LA WIZI.
EBOO! Aache UNAFIKI WAKE! Tume Huru tu ndiyo SULUHISHO LA WIZI.
Kamishna wa Tume ya uchaguzi NEC mh Jaji Mihayo amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuwashirikisha viongozi wa vyama vya siasa pale inapostahili kufanya hivyo ili uchaguzi uweze kuwa huru na haki.
Kadhalika Jaji Mihayo amewaasa wasimamizi hao kutopokea maagizo kutoka kwa viongozi wa serikali yatakayopelekea kuvuruga uchaguzi.
Jaji Mihayo alikuwa mkoani Geita kutoa semina kwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa October, 2020.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!