Jaji Mkuu ameiabisha Mahakama na kuwakosea watanzania

Sheria siyo hisia bro. Hakuna sababu ya hovyo mahakamani. Itakuwa ya hovyo tu kama kutakuwa na utetezi usiokuwa wa hovyo na si vinginevyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapi ndipo ulipokosea
Ni vigumu sana kujadili masuala ya sheria,wakati huna cheti cha sheria
Mahakamani hatuna hoja zinazoitwa za kipumbavu wala kwenye sheria zozote dunia,labda ungesema hoja zisizo na mashiko
Kwenye kutoa maamuzi jaji pia anapaswa kuangalia maslahi ya mtuhumiwa na ya taifa pia ikiwa sheria ipo kimya
Labda ungeainisha kesi husika wataalam wangejaribu kukusaidia
 
Mambo ya mahakama iachiwe mahakama ishughulike nayo!

Potea mbali huko na siasa zako uchwara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako umekabidhi mahali huwezi kuona ukweli, jaji/hakimu ni refa na mashitaki na mshitakiwa ni timu mbili zinazopambana. Ukijua mantiki hiyo hizo ngonjera za Jaji mkuu utaziona upuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hivi watu hawawezi fungua kesi za fidia hasa dhidi ya serikali basi ndio imekuwa shida tupu.
Nchi zilizoendelea wameweza kudhibiti uhuni huu wa kamata bila ushahidi kwa fidia.

Ukimkamata mtu halafu ukamfungulia mashtaka na kisha ukashindwa kesi, serikali itamlipa mtu huyo hadi ijute. Na anayesimamia malipo na haki za mtu huyo ni Mahakama.

Kwa Tanzania inashangaza sana kwamba DPP ndiye anayeiongoza mahakama

Ukimsikiliza ''shangazi'' ana hoja za msingi sana kama uhuru wa mahakama ambao sisi tunadhani ni maneno na si infrastructure nzima.

Pili, anaongea ukweli kuhusu Jaji mkuu. Kama Jaji mkuu analalamika kuhusu sheria mbovu, mhimili wake ndio wenye dhamana ya kutafsiri ubovu huo na kuurudisha panapohusika.

Jaji Ibrahimu kwakweli amepwaya ukilinganisha na akina Nyalali waliosimama kidete mbele ya Nyerere, waliosema wazi mchana kweupe kuna sheria 40 hazina maana na ni kandamizi.

Hivi ni kweli kwamba chimbuko la sheria ni Bunge tu! kama asemavyo Jaji mkuu?

Hivi Jaji mkuu mwenye mhimili akilalama, sisi vibaka mitaani tutakuwa na hali gani?

Mpende au mchukie Shangazi, ana hoja! za kufikirisha katika hili suala

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Huwezi kunielewa kwa sababu wewe unaonekana ni BOYA, FAMBA lile grade ya mwisho kabisa!
 
Wewe unaona tuna Bunge imara la kuisimamia Serikali hasa kaktik awamu hii? Kila mwenyewe akili timamu anajua kinachofanyika ni Serikali kulisimamia Bunge.
 
great thinker? you must be joking! Uko mbali sana na ukweli. Kama huu kwa dhati ndio uelewa wako wa mambo, una shida sana. Kama ulienda shule uliishia kujua KKK. Hukubahatika kuvuka hapo. Hujui hujui hujui. Maana yake: hujui na hujui kuwa hujui. Human beings are political animals. Huwezi kuondoa madoadoa kwa chui na akabaki chui. Vivyo hivyo huwezi ondoa siasa kwa binAdamu akabaki mtu!
 
Sasa wananchi wanakwenda kuelewa kauli ya baba wa taifa kuwa inahitajika kubadili katiba mpya .Iliyopo sasa hivi ambayo tunakumbatia inatoqa mwanya mukubwa muhimili wa Executive ku out weight mihimili mingine
 
Yeye alipokuja hadharani na kusema hayo alikuwa anatuambia sisi ni mahakama? Acha kimbelembele we dogo, kama huna cha kuchangia kalisha hilo jicho kwenye kiti.
Mabavicha mna mihemko; kila jambo ni la kisiasa kwenu.

Kwahiyo mlitaka majaji na mahakimu wawaachie huru wahalifu wa unbailable crimes? kwa utashi wao tu?

If the offence is not bailable, that is not up to the judiciary. It is the prosecutors who are expected to expedite their case and present the evidence to the court on time.

Piga blah blah hapo ukimaliza kale machips huko!

Dunia itaendelea kuzunguka kwenye muhimili wake na hakuna litakalobadilika msipojitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi ni jaji wa hiyo kesi, naihairisha kesi kwa mwezi mmoja, namtowa mshitakiwa kwa dhamana na namuweka ndani wakili wa serikali mpaka siku ya kusikiliza hiyo kesi aone raha ya kukaa ndani!
 
Jaji mkuu ndio wa hovyo zaidi kuliko hao majaji unaosema wahovyo
 
Unfortunately I can't argue with you, na sababu ni moja comment yangu hujaelewa hata 0.0000000000000001, so nitakuwa napoteza Muda na inaweza kunichukua miaka yote ya maisha yangu yaliyobaki kukuelewa, the best thing I can do ni kukuacha ubaki na UPOPOMA wako.
 
Obviously, from you, nothing more than this was expected. Hujui hujui hujui. Kama sijakuelewa hujielewi mwenyewe! Sampuli yako ndivyo walivyo. Hukimbilia: hujanielewa, nitakuwa napoteza muda kubishana na wewe, hata iweje siwezi kukuelewa, ni kukuacha kama ulivyo. Wanamalizia kwa tusi. Wao hujua kila kitu! Hawako tayari kusikiliza maoni tofauti na vile wanavyoamini. Ulikwenda shule ukapata elimu ya kufuta ujinga bila ya kuongeza maarifa!
Kuweza kuandika unachojua wewe ili wengine nao waweze kusoma unachojua. Umefunga milango usijifunze usilojua kwa kuamini unajua kila kitu kwa usahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…