Jaji Mkuu ameiabisha Mahakama na kuwakosea watanzania

Jaji mkuu,DPP,mwanasheria mkuu kama wakiamua mahabusu wapungue wanaweza sema wanaona wao wako salama hayawahusu.Kanuni inasema hivi,pigania maboresho ya sheria ukiwa huru ili ukiwa mfungwa kesho ikufae
 
Sheria siyo hisia bro. Hakuna sababu ya hovyo mahakamani. Itakuwa ya hovyo tu kama kutakuwa na utetezi usiokuwa wa hovyo na si vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ww unataka kubishana na jaji mkuu ambae yeye ndie mhusika mkuu ambae alisema mwenyewe kuwa mawakili wa serikali Wanakuja na sababu za hovyo. je ww na jaji mkuu Nani anaejua sababu za kisheria vizuri?
 
Sijui ukiwa jaji au hakimu unajitoaje fahamu kwa kusimamia mambo ambayo siku ukistaafu yataanza kukutesa wasilianeni na majaji na mahakimu ambao wamestaafu walikuwa wanawatetea wahalifu kwa hoja za hovyo sasa wanakumbana nao mtaani na wanajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We ndo mjinga. Unaleta Siasa za kijinga. Mahakamani sio CHadema. Kibatala akitoa sababu kwako ndo Haki. Wakishindwa wa Serikali. Ndo sheria inashika mkondo. Wakishinda. Sio. Uache ujuha. Mahakamani Ni namna tu unavyoweza kucheza na sheria na vilivyopo mbele yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…