Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 12, 2026 #1 Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.
Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 12, 2026 #2 Muite bwana joji Aliwahi kuwa AG AG kama mtumishi wa umma na mteule wa Rais mnaelewa atakuwa loyal kwa nani
Muite bwana joji Aliwahi kuwa AG AG kama mtumishi wa umma na mteule wa Rais mnaelewa atakuwa loyal kwa nani
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 12, 2026 #3 Fbn said: Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.View attachment 3627482 Click to expand... Waandishi hawaamui,ila wanaujulisha Umma kinachoendelea!
Fbn said: Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.View attachment 3627482 Click to expand... Waandishi hawaamui,ila wanaujulisha Umma kinachoendelea!
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jul 12, 2026 Thread starter #4 Kimwakaleli said: Waandishi hawaamui,ila wanaujulisha Umma kinachoendelea! Click to expand... Mi mwenyewe nimeshangaa sana eti ni jaji anauwezo
Kimwakaleli said: Waandishi hawaamui,ila wanaujulisha Umma kinachoendelea! Click to expand... Mi mwenyewe nimeshangaa sana eti ni jaji anauwezo
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jul 12, 2026 #5 Amefikishwa hapo na Samuya,
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Jul 12, 2026 #6 Hana jipya huyo naye analalamika.