Akistaafu sianamjulisha/anamuandikia barua Rais? auWa zamani kastaafu?
Soma vizuri nimemshauri tu. sina uwezo wa kumpangiaWewe Ni wa kumpangia jaji kweli 😀 hii nchii uhuru umepitiliza
Hujajibu swali badoAkistaafu sianamjulisha/anamuandikia barua Rais? au
amemupangia au ameshauri?Wewe Ni wa kumpangia jaji kweli 😀 hii nchii uhuru umepitiliza
Angalau kabadilisha imaniAliyetoka jaji Ibrahim Juma kanda ya ziwa na huyu tena
use common sense.Hujajibu swali
Huyu jamaa ni mcha Mungu,kuna kesi yangu dhidi ya kampuni niliyokuwa nafanyakazi,alisimamia kwa Haki na nikalipwa kwa Haki,sijui maana Binadamu hubadilika!Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania.
Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_
1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo wala ubaguzi.
2. Usikubali kuyumbishwa na wakongwe/wafitini na wapiga majungu. Jitenga na fitina na majungu.
3. Rudisha imani na matumaini kwa walio poteza matumaini.
4. Kuwa mkali kwa mambo ya msingi, ili kujenga nidhamu na heshima ya muhimili.
5. Hakikisha mahakama zote kuanzia mahakama ya mwanzo hadi mahaka ya Rufaa zinatumia ligha ya Taifa ya Kiswahili katika kusikiliza kesi na kutoa hukumu, kwani hadi sasa bado wananchi tunapeqa hukumu za kizungu.
6.
Ndio mwenyewe, kabla ya hapo alikuwa msaidizi wa mwendazake Werema!Kwani huyu si amewahi kuwa mwanasheria makuu wa serikali au nimesoma vibaya ?alikuwa anapingana na kina lisu pale bungeni mara nyingi .
Inawezekana kesi yako, haikuwa na masirahi kwake, au kwa "mwenye mamlaka ya uteuzi" aliyemteua!Huyu jamaa ni mcha Mungu,kuna kesi yangu dhidi ya kampuni niliyokuwa nafanyakazi,alisimamia kwa Haki na nikalipwa kwa Haki,sijui maana Binadamu hubadilika!
kuna kitu kinafunikwa, wamemtoa kafara kuficha aibuWa zamani kastaafu?
SawaInawezekana kesi yako, haikuwa na masirahi kwake, au kwa "mwenye mamlaka ya uteuzi" aliyemteua!
Alishastaafu,wakamuongezea muda!kuna kitu kinafunikwa, wamemtoa kafara kuficha aibu