Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
kastaafishwa au kastaafu. Taarifa kamili itajulikanause common sense.
Ukiona mtu kateuliwa juwa kuwa aliye kuwepo kesha staafu.
kastaafishwa au kastaafu. Taarifa kamili itajulikanause common sense.
Ukiona mtu kateuliwa juwa kuwa aliye kuwepo kesha staafu.
Alishastaafu wakamuongezea muda, kustaafukastaafishwa au kastaafu. Taarifa kamili itajulikana
Hakika, jambo la msingi sasa ajikinge na wapiga majungu na fitina. Maana hilo ndio tatizo sugu ambalo linawaharibu viongozi wazuri.Huyu jamaa ni mcha Mungu,kuna kesi yangu dhidi ya kampuni niliyokuwa nafanyakazi,alisimamia kwa Haki na nikalipwa kwa Haki,sijui maana Binadamu hubadilika!
Taarifa inayo julikana kwa sasa ni Uteuzi wa Jaji Mkuu mpya ambaye ataapishwa tarehe 15/06.kastaafishwa au kastaafu. Taarifa kamili itajulikana
Alishastaafu; akapewa mkataba (sikumbuki wa muda gani), nao umemalizika.Wa zamani kastaafu?