Jaji Mkuu George Masaju mchukulie hatua za kinidhamu Hakimu wa mahakama ya Mwanzo aliyemsomea mashitaka mhadhiri na kumpeleka mahabusu kimakosa.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru.

Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama.

Sijajua ni mahakama gani ila kwa sababu wewe upo Dodoma najua itachukua sekunde moja kumfahamu na kumchulia hatua.

Nawasilisha.
 
Sahau
 
Yale ni maelekezo "kutoka juu" kama walivyoaambiwa wahadhiri wenzie hivyo huyo atateseka sababu ya vidampa wafuata maelekezo haramu.

Atakua kama wale walimu waliogomea teuzi za kuwa DC wakapewa kesi.
 
Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru.

Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama.

Sijajua ni mahakama gani ila kwa sababu wewe upo Dodoma najua itachukua sekunde moja kumfahamu na kumchulia hatua.

Nawasilisha.
Huyo Masaju mwenyewe anafanya kazi kwa vimemo toka kwa Samia, kama unaamini Mahakama za Tanganyika ziko huru pole sana.
 
Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru.

Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama.

Sijajua ni mahakama gani ila kwa sababu wewe upo Dodoma najua itachukua sekunde moja kumfahamu na kumchulia hatua.

Nawasilisha.
Hana uwezo huo man, beleive me justice syste ya tz imeoza
 
Kwa kosa Hilo la ugaidi anaenda kukosa sifa za kuajiriwa ndani ya serikali Hadi sekta binafsi , Kwa Sheria zetu Tanzania ni hatari sana kupewa kesi hii.....naona target ya serikali ni kumkomoa Kwa njia hii
 
Hawajali hawa, wewe fikiria mauaji waliofanya kiholela kusababisha upotevu wa maisha na kuzalisha mayatima kwa sababu ya madaraka
 
Hapa hakuna sheria iliyofuatwa, ni wazi hakimu alikuwa anatekeleza maagizo ya mtu. Mahakama imeshapoteza uhuru wake kabisa.
 
Back
Top Bottom