jaji mkuu george masaju

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu George Masaju mchukulie hatua za kinidhamu Hakimu wa mahakama ya Mwanzo aliyemsomea mashitaka mhadhiri na kumpeleka mahabusu kimakosa.

    Kwanza kabisa huyu Hakimu amekuchafua wewe na mhimiri mzima wa Mahakama. Inaonyesha wazi mahakama sio chombo huru. Japokuwa ni wazi kuwa hakipo huru. Lakini kitendo cha hakimu huyu kumsomea shtaka ambalo hana mamlaka nalo kisheria ni kuidhalilisha mahakama. Sijajua ni mahakama gani ila kwa...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatudanganyiki na hotuba za Jaji Mkuu George Masaju

    Jana tarehe 19 Septemba 2025. Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju alikutana na viongozi wa TLS ambapo walijadiliana mambo mengi ya msingi. Jaji Masaju alitoa maelekezo kwa Mahakama inavyopaswa kushughulikia kesi za Uchaguzi na mashauri mengine. Kwa kulinda aibu ya mawakili wa serikali ambao...
Back
Top Bottom