Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Jana tarehe 19 Septemba 2025. Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju alikutana na viongozi wa TLS ambapo walijadiliana mambo mengi ya msingi.
Jaji Masaju alitoa maelekezo kwa Mahakama inavyopaswa kushughulikia kesi za Uchaguzi na mashauri mengine. Kwa kulinda aibu ya mawakili wa serikali ambao wamethibitisha uwezo wao finyu kwenye sheria walizoshiriki kuziandika.
Jaji Masaju anajaribu kuficha aibu inayoendelea kwenye mahakama ambapo tunaona Mahakimu na majaji wakitoa maamuzi kandamizi.
Jaji mkuu yupo kimya kuhusu unajisi unaofanywa na Polisi sambamba na askari Magereza kwenye viunga vya Mahakama nchini.
Anachokiongea CJ Masaju ni koti la uongo kwa sababu, matendo halisi au utendaji wa Majaji na Mahakimu unaonekana wazi kwa umma. Tumeshuhudia Msajili Msaidizii wa Vyama akitoa hukumu juu ya hukumu ya Mahakama. Tumeshuhudia Polisi wakitumia silaha nzito kupoka uhuru wa kuabudu ilihali mahakamani kumedhihirika Msajili wa Asasi za Kirraiia hajafungia makanisa ya Ufufuo na Uzima.
Tunachokiona mahakamani ndiyo MAELEKEZO sahihi yenye baraka za Jaji Mkuu Masaju.
Hatudanganyiki