Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?

Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani vya kitabibu?

Je, ameshindwa kuapisha mawakili wa Dar tu kama kiwakilishi akakaa nao na kutoa hotuba?

Kashindwa kukodi ukumbi wa kuapishia mawakili 500?

Hamuamini Rais aliposema corona imeisha?

Alishindwa kuwaambia mawakili watarajiwa watumie tahadhari za wizara ya afya?

Kama wanafunzi wa nursery mpaka chuo kikuu wamerudi mashuleni, Jaji Mkuu anapata taarifa ipi ya kiintelejensia kuzuia yeye kukutana na mawakili wapya kisa corona?

Wasalaam
#matege
atawaapisha kwa njia gani? video conferencing? au kwa tamko kuwa tangu leo wewe ni wakili!
 
Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?

Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani vya kitabibu?

Je, ameshindwa kuapisha mawakili wa Dar tu kama kiwakilishi akakaa nao na kutoa hotuba?

Kashindwa kukodi ukumbi wa kuapishia mawakili 500?

Hamuamini Rais aliposema corona imeisha?

Alishindwa kuwaambia mawakili watarajiwa watumie tahadhari za wizara ya afya?

Kama wanafunzi wa nursery mpaka chuo kikuu wamerudi mashuleni, Jaji Mkuu anapata taarifa ipi ya kiintelejensia kuzuia yeye kukutana na mawakili wapya kisa corona?

Wasalaam
#matege
Jaji mkuu ana akili sana. Narudia tena ana akili sana. Fikirin huyo ni Prof Assad mjitekenye mcheke.
 
Acheni jaji mkuu asimamie anachokiamini corona imeondoka na watu wengi sana wa sheria.
Pia kunguru mwoga na stadi huficha bao lake. Wanaoaminishwa kuwa Korona imekwisha wache wajirushe. Wasioamini waacheni wachukue tahadhari. Hakuna wa kulaumiwa.
 
Mleta maada heshimu mgawanyo wa mihimili wakili gani koko wewe? hujui mihimili mitatu iko independent yaani serikali,bunge na mahakama? hujui hilo?

Kama ulipitishwa kuwa wakili uko kwenye hilo kundi aliyekupitisha kakosea sana
Jiwe si anaweza akamtumbua kama kawaida yake, ngoja tuone.
 
Kwanini hujafikiria juu ya fedha kuzipoteza tu, hao wote kusafiri na malazi?
 
Jiwe si anaweza akamtumbua kama kawaida yake, ngoja tuone.
JPM ampe Jaji Mkuu Ukatibu Mkuu wa Wizara au Ubalozi, patamfaa huko,waliomshauri Jaji Mkuu kuhusu hili jambo wapewe ukatibu tawala wa mkoa na wilaya
 
Jaji mkuu hana madaktari wa kumpa hali ya corona ila JPM ana access ya taarifa za hali ya kiafya nchini

Pale mlimani udsm darasa lina wanafunzi 300, Jaji Mkuu anashindwa kukaa na mawakili 500 akawaapisha?
Tatizo ulitaka uvae joho ukauze nyago kwenye instagram.
Kwani kama ushapata roll # wenge la nini?

Kama una wenge ivo utaweza kutusua sokoni kweli wewe au utakua unagonga mihuri ya buku???
 
Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?

Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani vya kitabibu?

Je, ameshindwa kuapisha mawakili wa Dar tu kama kiwakilishi akakaa nao na kutoa hotuba?

Kashindwa kukodi ukumbi wa kuapishia mawakili 500?

Hamuamini Rais aliposema corona imeisha?

Alishindwa kuwaambia mawakili watarajiwa watumie tahadhari za wizara ya afya?

Kama wanafunzi wa nursery mpaka chuo kikuu wamerudi mashuleni, Jaji Mkuu anapata taarifa ipi ya kiintelejensia kuzuia yeye kukutana na mawakili wapya kisa corona?

Wasalaam
#matege
Duh
IMG_20200618_184015.jpg
 
Tatizo ulitaka uvae joho ukauze nyago kwenye instagram.
Kwani kama ushapata roll # wenge la nini?

Kama una wenge ivo utaweza kutusua sokoni kweli wewe au utakua unagonga mihuri ya buku???
Nyago ndio nini? JF sio sehemu ya wahuni na wavuta bangi,tumia lugha stahiki bwana mdogo
 
Mleta maada heshimu mgawanyo wa mihimili wakili gani koko wewe? hujui mihimili mitatu iko independent yaani serikali,bunge na mahakama? hujui hilo?

Kama ulipitishwa kuwa wakili uko kwenye hilo kundi aliyekupitisha kakosea sana
Unajua Nani anamlipa mshahara,posho,ulinzi jaji mkuu? Hizo hukumu sake kama JPM hajaamua basi hazitekelezeki,na mahakama hazikaliki, JPM anaagiza tu polisi waondolewe mahakamani
 
Inawezekana akiwa chemba,CJ huwa anamnanga mkuu wetu jinsi anavyoshughulikia mambo ya corona
 
Lazima ukaapishe Dar pamoja na technolojia hii? shame on you kama ulianda demu Dar imekula kwako.
 
Jaji Mkuu anafuata mambo ya chadema kuendesha vikao kwa mitandao,kama anawapenda chadema awafate huko, Rais Makamu na Waziri Mkuu na mawaziri wanatembea nchi nzima kusaidia wananchi,wao hawaogopi corona? Mahakama za Jaji mkuu wananchi wanawekwa juani haya kivulini hawakai kisa corona ,wakuu wa wilaya na mikoa wanawapokea wananchi vizuri tu hawawatengi.
 
Ujinga wako isiwe sababu ya kulinganisha na maisha ya mtu, maisha binafsi ya mtu akifa utalea familia yake? kutumia video conference kuna shida gani? unataka umuonye demu wako kuwa uliapishwa na Jaji? fanya kazi kuapishwa ni mazoea wala haizuii kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom