chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #41
-mbavu,hovyo kabisaUjinga wako isiwe sababu ya kulinganisha na maisha ya mtu, maisha binafsi ya mtu akifa utalea familia yake? kutumia video conference kuna shida gani? unataka umuonye demu wako kuwa uliapishwa na Jaji? fanya kazi kuapishwa ni mazoea wala haizuii kufanya kazi.