Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George Masaju, Jaji Mkuu wa Tanzania
Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni kiswahili? Ndilo umeona la kusema mbele ya watu!
Pathetic!
Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni kiswahili? Ndilo umeona la kusema mbele ya watu!
Pathetic!