Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari, 2026.
 
Bloodfucken ,kwahiyo shida ya watanzania mahakamani ni hukumu kuwa katika kiswahili!
Mnisamehe kwa lugha kali, wanatia hasira sana hawa machawa
 
Back
Top Bottom