Jaji Mkuu Masaju Aonya Mahakama Kuishi Kwa Maelekezo

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.

Akizungumza Februari 25, 2026 jijini Dodoma katika Kikao cha Mwaka cha Majaji Wafawidhi, Jaji Mkuu Masaju amesema viongozi wa Mahakama wanapaswa kutambua wajibu wao bila kusubiri kusukumwa na maelekezo kutoka juu.

“Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.

Ameonya kuwa utamaduni wa kusubiri maagizo kabla ya kutekeleza majukumu unaweza kuharibu mahusiano ya kikazi na kushusha hadhi ya taasisi hiyo muhimu.

Aidha, Jaji Mkuu huyo amesema Mahakama inapaswa kuwa mfano wa uwajibikaji kwa taasisi nyingine, akisisitiza kuwa ndiyo kimbilio la wananchi wanapotafuta haki.

Hii inaitwa kuuma na kupuliza! Tunawafahamu vyema! Maneno mengi utekelezaji 0. Mnatudanganyq wananchi. Tabia zenu na mienendo yenu inafahamika 100%. Wananchi sio wajinga. Kuna majaji wenye maadili mazuri wanatenda haki. Mungu awabariki sana. Kuna wengine mwanga na wenzake. Mbingu zitaamua juu yenu na uzao wwnu
 
Hawa watu sio wa kuwaamini kabisa
Anachosema sicho anachomanisha

Yasingekuwa maelekezo kesi ya lisu ingeshalifutwa muda
 
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.

Akizungumza Februari 25, 2026 jijini Dodoma katika Kikao cha Mwaka cha Majaji Wafawidhi, Jaji Mkuu Masaju amesema viongozi wa Mahakama wanapaswa kutambua wajibu wao bila kusubiri kusukumwa na maelekezo kutoka juu.

“Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.

Ameonya kuwa utamaduni wa kusubiri maagizo kabla ya kutekeleza majukumu unaweza kuharibu mahusiano ya kikazi na kushusha hadhi ya taasisi hiyo muhimu.

Aidha, Jaji Mkuu huyo amesema Mahakama inapaswa kuwa mfano wa uwajibikaji kwa taasisi nyingine, akisisitiza kuwa ndiyo kimbilio la wananchi wanapotafuta haki.

View attachment 3548691
Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.

Back
Top Bottom