Jaji Mkuu Masaju Aonya Mahakama Kuishi Kwa Maelekezo

Ubaya au Uzuri wa maelekezo ni pale ambapo mtoa maelekezo akiwa ni yule ambaye uliwahi kumnyanyasa.
 
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.

Akizungumza Februari 25, 2026 jijini Dodoma katika Kikao cha Mwaka cha Majaji Wafawidhi, Jaji Mkuu Masaju amesema viongozi wa Mahakama wanapaswa kutambua wajibu wao bila kusubiri kusukumwa na maelekezo kutoka juu.

“Hatuwezi kuishi kwa maelekezo. Sisi ni binadamu tuna akili na tunatambua wajibu wetu. Sisi ni viongozi wenye dhamana kubwa katika taifa hili, tunapaswa kuwajibika ipasavyo,” amesema.

Ameonya kuwa utamaduni wa kusubiri maagizo kabla ya kutekeleza majukumu unaweza kuharibu mahusiano ya kikazi na kushusha hadhi ya taasisi hiyo muhimu.

Aidha, Jaji Mkuu huyo amesema Mahakama inapaswa kuwa mfano wa uwajibikaji kwa taasisi nyingine, akisisitiza kuwa ndiyo kimbilio la wananchi wanapotafuta haki.

View attachment 3548691
That mazafaka cherishes performative speeches!
 
Walking the walk and talking the talk can't match.
Easier said than done.
 
Angeanza na ya TAL...
Ni aibu kwa taifa, taaluma na weledi!
 
Ya kweli kutoka moyoni au anatuchota akili tu?
 
Back
Top Bottom