PostGE2025 Jaji Mkuu Masaju: Nani anasema Mahakama haipo huru? hii akili ya hovyo we won't entertain this

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unasoteshwa gerezani for more than a year halafu DPP ana withdrawal case eti hana nia ya kuendelea na shauri lile. Na Mtuhumiwa hana namna yeyote ya kuwafungulia mashitaka/kudai fidia.

Hakuna kitu kinasikitisha kama utendaji kazi wa hawa Majaji wetu. Mfano Jaji aliyehudumu kwa miaka mingi kwenye chombo cha kutoa Haki, anaposimama kusema uongo.

Hebu fikiria M/kiti wa Tume ya Huru ya Uchaguzi anasoma na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya uongo kabisa huku akifahamu fika kuwa ni ya uongo. Hukumu alizowahi kuzitoa tutaziaminije?? Huo ni ushahidi tosha kwamba Mahakama zetu haziko Huru.
 
Kwetu uku mtu akikuita masaju maana yake wewe ni *****.
 
Yaani anaamini bado tuko kwenye giza kiasi kwamba yeye akisema mahakama ziko huru, basi automatically ni huru? Kinachofanya mahakama kuwa huru ni utendaji wake, na sio kwa utetezi wa Jaji mkuu.
Ukisikia mtu anaanza kujitetea kabla hujamuuliza jua ni mkisefu kweli na anajihisi.

Jiulize jirani ysko anaanza kujitetea kijiweni, ohoo watu wanasema mi ni mwizi, hata sijui nani kawaambia mimi mwizi, ujua kabisa anajihisi.
Jaji mkuu kaulizwa na nani ihuru wa mahakama?

Sisi tunafahamu vya ccm ni haramu, aseme asiseme.

Haiko huru akisema haiko huru akinyamaza hana uwezo wa kubadirisha hilo.
 
Mahakama hazipo huru. Aache Ujinga.
Juzi tu hapa, Rais alituambia kuwa, alipoonana na "WALE WALIOISHIWA HATA HELA YA KULA" kule Ughaibuni, eti baada ya kuwapa hela yake ya kujikimu safarini, walidai wanashindwa kurudi home, kwani wana kesi. Akawaambia warudi tu, kwani "ATAZIFUTA KESI" zao! Huko si kuingilia MAHAKAMA?
 
Hivi Masaju anataka kumdanganya nani?? Mxiuuuu!

Akae kimya tu. Asitutie hasira tukaja kumsalimia tarehe 9D.
 
Ni watu ambao wanaishi kwenye zama za ‘dark ages’.

Udhani hawa watu kama wanaelewa kipindi hiki cha ‘digital revolution’ watanzania virtually wanaweza ishi popote.

Wananchi leo hata darasa la saba wapo more informed na educated kwa mambo mengi sana, kwa sababu ya exposure internet inayowapa.

Huko serikalini wao bado wanaamini watanzania ni watu ambao unaweza walisha fix zozote tu. Ni kama vile raia reasoning capacity imezidi sio wanasiasa tu, bali ata technocrats wa serikali.

Ukiwasikiliza viongozi wa siasa na serikali unabaki ‘wow’ hivi hawa watu wanaelewa hata kiwango cha ufahamu wa watanzania wa leo; hasa hawa young adults wanaopata akili internet kwao ni jambo la kawaida.

Kizazi cha 90’s kwenda mbele sio sawa kabisa na watu waliozaliwa nyuma yao; hawa wapo more informed kila siku zinavyoenda. Halafu huko serikalini bado wana mawazo ya Tanzania ya mwaka 1961-64 ambapo wasomi hawazidi mia.

Like serious ukiwasikiliza hawa watu unajiuliza hivi wanaona watanzania hamnazo kabisa.
 
K
Siku tukipata uhuru wa kweli, kitu cha kwanza kukifuta na kukijenga upya litakuwa jeshi la polisi, DPP, DCI, itafuatiwa na Mahakama ya Tanzania, na baadae Usalama wa Taifa na mwisho Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa, Hizi Taasisi ndizo zimetufikisha hapa tulipo leo. Ni Taasisi muhimu sana lakini zimegeuka kuwa taasisi chawa
 
Samia alipowapa order muwaachie watuhumiwa wa kesi za uhaini na mkatii pale ndio mlionyesha uhuru kwa vitendo.
 
Bado namkumbuka Lissu alivyokuwa anamwita mrithi wa Werema
 
Kila mtu anajua mahakama zetu ni za simu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…