Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo.
Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao wakubwa! Mheshimiwa kwa maneno yako ulilalamika kuwa hivyo "vimemo' vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi ya kesi, ni wazi kuwa mahakama yako haikuwa huru.
Sasa kama mahakama haikuwa huru hiyo tume yako itawezaje kuwa huru! Inawezekana kuongezewa muda kunatokana na mkubwa kuona hamjalifikia lengo lake.
Kazi na Utu.