Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
chande-pic.jpg
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa.

Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za Binadamu na Ukatili uliofanywa nchini Ethiopia tangu Novemba 2020.

Jaji Chande na timu yake watawasilisha taarifa ya Uchunguzi kuhusu hali ya Ethiopia mbele ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kati ya Februari na Machi 2023.
===

Former Tanzanian Chief Justice Mohamed Chande Othman has been appointed to chair the Commission of Human Rights Experts on Ethiopia which operates under the UN Human Rights Council.

He takes over from Kaari Betty Murungi following her resignation as chairperson and member of the commission. Apart from a seven-year stint as Tanzania's top judge (2010-2017), Mr Othman also served as chief prosecutor at the International Criminal Tribunal for Rwanda (1998- 2000) and the Council’s independent expert on the human rights situation in the Sudan (2009-2010) among his previous postings.

The three-person Commission of Human Rights Experts on Ethiopia, created in December 2021, is mandated to investigate alleged human rights violations and abuses in Ethiopia committed since November 2020.

The commission is scheduled to deliver its next update on the Ethiopian situation to the UN Human Rights Council between February and March 2023.

THE EASTAFRICAN
 
Watu weusi wanamatatizo yaani chande huku nyumbani kwake watu wapo kwenye viroba yeye anakwenda Ethiopia
 
Pongezi kwake kwa kuaminiwa.
waswahili wanamsemo usemao;

"Ukiaminiwa aminika"
 
Back
Top Bottom