Jaji Mkuu nini kinakwamisha kusikiliza maombi ya serikali kwenye kesi ya Lissu. Mbele ya camera uko safi, nyuma ya Camera anajua shetani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tunakwenda almost miezi 2.

Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi!

Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya yako! What else do you want to tell the mass!
Ya LISU UMEIPAKI KWA MKONO WAKO, WEWE MWENYEWE KWA AMRI TOKA JUU.

STOP HYPOCRISY!
 
STOP HYPOCRISY?
Fisadi promax rostam alishatusanua kitambo! We hujui??
 
Tunakwenda almost miezi 2.
Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi!

Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya yako! What else do you want to tell the mass!
Ya LISU UMEIPAKI KWA MKONO WAKO, WEWE MWENYEWE KWA AMRI TOKA JUU.

STOP HYPOCRISY?
hakuna haja ya kukimbiza mashauri,
istoshe,
kesi kwa mfano za uhaini zinafaa kuchukua muda mrefu zaidi sambamaba na hukumu ya kunyongwa hadi kufa, ili kujiridhisha zaidi.

Kesi ya lisu inafaa kuendeshwa polepole sana ili anapopewa hukumu yake ya kunyongwa, pasiwe na chembe ya shaka.
 
Naomba tu kufahamishwa huyo Jaji Mkuu anateuliwa na nani kwenye hiyo nafasi yake, na vigezo vya uteuzi wake vikoje! Naogopa kuchangia kabla ya kulifahamu jambo hili muhimu.
Nimekupata. Lazima apokee amri ya mamlaka ya uteuzi wake. Lakini the good thing ni kuwa hawezi kumtoa. Labda AMKOLIMBE...
 
Huyo jaji akiwa anaongea naonaga kama kuna NATI FULAN katika HEAD yake hazijakaza vizuri

Ametumika SANA bungen kuudhofisha uponzan usitegemee jipya kwake

Jaj mstaafu mzee chande naye mda s mrefu anaenda kuvuliwa nguo na CCM
 
Tunakwenda almost miezi 2.

Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi!

Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya yako! What else do you want to tell the mass!
Ya LISU UMEIPAKI KWA MKONO WAKO, WEWE MWENYEWE KWA AMRI TOKA JUU.

STOP HYPOCRISY!
Kuna umuhimu, siku moja huko mbeleni, baada ya yote haya watu hawa waulizwe na kuwajibika kwa haya wanayoyafanya sasa.

Hivi huyo Jaji mkuu sasa akiamua kufuata taratibu anazozieleza mbele za watu; nini hasa kitatokea?

Pengine hili ndilo linalofaa kujadiliwa kwa kina.

Kuna madhara yapi yatakayomfuata Jaji Mkuu akiamua kufuata taratibu walizojiwekea kuendesha shughuli za Mahakama?

Hili ni swali linalohitaji majibu.
 
Naomba tu kufahamishwa huyo Jaji Mkuu anateuliwa na nani kwenye hiyo nafasi yake, na vigezo vya uteuzi wake vikoje! Naogopa kuchangia kabla ya kulifahamu jambo hili muhimu.
Mkuu 'Tate', kwani kuteuliwa ni hoja. Si tayari alikwishateuliwa, au anangoja kuteuliwa tena kwenye nafasi gani nyingine. Kama ile ya Chande na wachawi wengine, labda!

Masaju anapoongea; na hata yule mtangulizi wake Jumanne; wanapoeleza taratibu za utendaji wa mahakama yao utadhani kuwa nchi hii inayo mahakama nzuri sana usiyoweza kuitilia mashaka yoyote.
Lakini uzuri huo unaishia kwenye hayo maelezo wanayoyatoa mbele za watu bila aibu kabisa.

Mimi nauliza hapa. Masaju akidhamiria kufuata taratibu walizojitengenezea kuendesha mahakama kwa ufanisi; ni kitu gani hasa kitamtokea yeye na wenzake huko kwenye mahakama waliodhamiria kufuata taratibu?

Hili ni swali muhimu sana hasa wakati huu ambapo maswala ya nchi yanaendeshwa siyo kwa matakwa ya chama, bali matakwa ya kundi lililojitwalia madaraka ya kuendesha nchi kwa njia zao nje ya mfumo wa chama.

Masaju na wenzake wangeamua kuwa hawatatumika kwa maslahi ya kundi la waovu, huo ungekuwa ni mchango mkubwa sana katika kuliokoa taifa hili
 
Naomba tu kufahamishwa huyo Jaji Mkuu anateuliwa na nani kwenye hiyo nafasi yake, na vigezo vya uteuzi wake vikoje! Naogopa kuchangia kabla ya kulifahamu jambo hili muhimu.
Jaji Mkuu huteuliwa na Rais, vigezo haviko bayana lakini kwa hali halisi mteuzi ndiye anamilki akili za mteuliwa.
 
Naomba tu kufahamishwa huyo Jaji Mkuu anateuliwa na nani kwenye hiyo nafasi yake, na vigezo vya uteuzi wake vikoje! Naogopa kuchangia kabla ya kulifahamu jambo hili muhimu.
Jaji Mkuu huteuliwa na Rais, vigezo haviko bayana lakini kwa hali halisi mteuzi ndiye anamilki akili za mteuliwa.
 
hakuna haja ya kukimbiza mashauri,
istoshe,
kesi kwa mfano za uhaini zinafaa kuchukua muda mrefu zaidi sambamaba na hukumu ya kunyongwa hadi kufa, ili kujiridhisha zaidi.

Kesi ya lisu inafaa kuendeshwa polepole sana ili anapopewa hukumu yake ya kunyongwa, pasiwe na chembe ya shaka.
CHawa usiye na akili, kuna siku hao jamaa unaowatumikia watakuomba trako!
Si unapenda sana vya bure
 
Back
Top Bottom