Jaji Mkuu nini kinakwamisha kusikiliza maombi ya serikali kwenye kesi ya Lissu. Mbele ya camera uko safi, nyuma ya Camera anajua shetani

Jaji Mkuu nini kinakwamisha kusikiliza maombi ya serikali kwenye kesi ya Lissu. Mbele ya camera uko safi, nyuma ya Camera anajua shetani

Tunakwenda almost miezi 2.

Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi!

Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya yako! What else do you want to tell the mass!
Ya LISU UMEIPAKI KWA MKONO WAKO, WEWE MWENYEWE KWA AMRI TOKA JUU.

STOP HYPOCRISY!
Wala usijali, Hawa wote watakamatwa
 
CHawa usiye na akili, kuna siku hao jamaa unaowatumikia watakuomba trako!
Si unapenda sana vya bure
Gentleman,
sina haja ya kumtumikia mtu ispokua wananchi wa Tanzania walionipa dhamana ya kuwatumiakia na kuwafanyia kazi za maendeleo.

sihitaji kulipwa wala sihitaji shukrani kutoka kwa yeyote
 
Back
Top Bottom