Jaji Mkuu: Polisi wataendelea kutekeleza majukumu maeneo ya mahakama

Safi rungu ziendelee kutembea haiwezekani mahakama idharaulike watu wafanye mambo nje na utaratibu mahakamani alafu polisi waache kuwadhibiti wakati kosa linatendeka mbele yao , hii siyo familia ya kambare mahakama iheshimike mtu akileta fujo mahakamani atembezewe rungu na ndani ya masaa 24 afunguliwe mashtaka na afikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo ili iwe funzo kwa wajinga wengine.
Mwisho wa uchawa tar 29 lucha
 
..nadhani Masaju ni bogus kuliko mtangulizi wake, Prof.Ibrahim.
Lissu alishasema huyo Masaju ni wa ovyo, kweli ni wa ovyo kuliko Ibrahim. Yaani anataka tumheshimu Samia? Kwa sababu gani? Anayeiba na kufanya maisha ya watanganyika kuwa ngumu kwa ajili ya kutukomoa? Hatumtaki na hatumheshimu, wewe jaji Masaju inaonekana una elimu ndogo sana, sijui hata alipataje ujaji wake? Huyo jaji ni wale wa zamani ambao walifunzwa kutotenganisha Serikali, Mahakama na Bunge......uelewa mdogo sana.
 
Haelewi anachoongea, badala ya kuongozwa na taratibu na sheria, anaongozwa na mihemuko. Haongelewi watu kupigwa na kutekwa mahakamani, sijui hata anaongelea nini huyu mlevi. Unataka tuheshimu viongozi wanaotuteka???? Wewe heshimu hao, sisi hatutaheshimu wanaotuteka, wewe na watoto wako hamtekwi, hambakwi na kulawitiwa, watanzania wengine hasa watanganyika wanafanyiwa hayo na huyo rais na mtoto wake Abdul. Wananchi tumechoka, mahakama bado ni ya ovyo kwa sababu ya uwepo wako.....Haitetei haki ila inatetea viongozi watekaji. Umekosa heshima wewe jaji.
Kwa sababu haupendi kuheshimu, we kamanda pambana kamanda nenda mahakaman pale tukana kabisa had wakuogope na kukuheshimu..
Unajua polisi na mahakama unawazd akili kamanda..kawanyooshe.
 
Haelewi anachoongea, badala ya kuongozwa na taratibu na sheria, anaongozwa na mihemuko. Haongelewi watu kupigwa na kutekwa mahakamani, sijui hata anaongelea nini huyu mlevi. Unataka tuheshimu viongozi wanaotuteka???? Wewe heshimu hao, sisi hatutaheshimu wanaotuteka, wewe na watoto wako hamtekwi, hambakwi na kulawitiwa, watanzania wengine hasa watanganyika wanafanyiwa hayo na huyo rais na mtoto wake Abdul. Wananchi tumechoka, mahakama bado ni ya ovyo kwa sababu ya uwepo wako.....Haitetei haki ila inatetea viongozi watekaji. Umekosa heshima wewe jaji.
Wewe nyumbu huwezi kuandika kwa herufi za kawaida?
Lissu alishasema huyo Masaju ni wa ovyo, kweli ni wa ovyo kuliko Ibrahim. Yaani anataka tumheshimu Samia? Kwa sababu gani? Anayeiba na kufanya maisha ya watanganyika kuwa ngumu kwa ajili ya kutukomoa? Hatumtaki na hatumheshimu, wewe jaji Masaju inaonekana una elimu ndogo sana, sijui hata alipataje ujaji wake? Huyo jaji ni wale wa zamani ambao walifunzwa kutotenganisha Serikali, Mahakama na Bunge......uelewa mdogo sana.
Huyu Lissu wako ni wa ovyo zaidi anatumiwa na mabwana zake Wabelgiji alikotunzwa mke na watoto wake. Yeye ananyea debe mke wake yuko na Wabelgiji.
 
Wewe nyumbu huwezi kuandika kwa herufi za kawaida?

Huyu Lissu wako ni wa ovyo zaidi anatumiwa na mabwana zake Wabelgiji alikotunzwa mke na watoto wake. Yeye ananyea debe mke wake yuko na Wabelgiji.
Wewe mbwa inakuhusu nini nikiandika na maandishi makubwa, angalau mabwana wake wana moyo wa huruma kuliko wewe mbwa na watekaji wenzako mnaobaka na kulawiti. Hujui hatari iliyopo mbele yako fala wewe, hao walawiti na wabakaji wenzako wakija kumbaka mama yako usije ukalaumu. Mnasema mtu mliyetaka kumuua mkashindwa, ujue jinsi Mungu alivyo mwema, mtu anapigwa mguu au mkono/risasi moja tu anaondoka, huyo mmempiga risasi 17 na bado hajafa, tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Lissu. Mungu ni mwema.
 
Kwani mliotokomea na waliopotea mnakokujua mnatumiwa na nani ndugu?
 
Wewe mbwa inakuhusu nini nikiandika na maandishi makubwa, angalau mabwana wake wana moyo wa huruma kuliko wewe mbwa na watekaji wenzako mnaobaka na kulawiti. Hujui hatari iliyopo mbele yako fala wewe, hao walawiti na wabakaji wenzako wakija kumbaka mama yako usije ukalaumu. Mnasema mtu mliyetaka kumuua mkashindwa, ujue jinsi Mungu alivyo mwema, mtu anapigwa mguu au mkono/risasi moja tu anaondoka, huyo mmempiga risasi 17 na bado hajafa, tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Lissu. Mungu ni mwema.
Nyumbu unadanganywa kirahisi sana upigwe risasi 17 upone!! Nyumbu shida sana afadhali mbwa anauelewa kidogo kuliko nyumbu.
 
Ndiyo CCM inavyowadanganya, basi hakupigwa hata risasi moja kama CCM inavyodai, siwashangai maana wewe na wenzako mlivyo hamtumii ubongo kwenye kufikiri bali mnatumia makalio yenu.Tumekuwa na watu kama wewe ambao mmeaminishwa kuwa Samia ni bora kwa sababu ana kitambi kikubwa na miguu ya nguruwe. Mbwa wewe unayemlamba Samia mata** yake. Mjinga wewe.
 
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema kwamba Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza sheria katika maeneo ya Mahakama, akibainisha kuwa hakuna mahakama inakosa ulinzi wa Jeshi la Polisi.
‎
‎Jaji Masaju ameeleza hayo Septemba 29, 2025 alipokuwa akihitimisha mkutano kuhusu ushirikiano na mahusiano katika utekelezaji wa majukumu ya utoaji haki Mahakamani katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
‎
‎"Hii ni pamoja na kwamba Jeshi la Polisi litaendelea ‘ku-inforce law and order’ mahakamani, Mahakama ya wapi ambayo inakosa ulinzi? Na katika kipindi ambacho akili za watu zimeharibika kiasi hiki? Watu wanazungumzia mambo, hawana tena heshima kwa viongozi wa taifa wala binadamu wenzao" amesema Jaji Masaju.
‎
‎Amesema Mahakama haitaweza kukubaliana na vitendo vya ukiukwaji wa sheria mbele ya mahakama, ikiwa ni pamoja na kukemea yoyote atakayetumia mwamvuli wa uwakili kufanya vitendo visivyokubalika mahakamani.
Nilishasema kitambo kuwa hutu Masaju naye ni walewale tu ambao wako wako kwenye handbag ya Samia anawatumia kama vikaragosi vyake.
 
Huyo ndiye George Masaju msabato kwa imani. Atawalazimisha kuwaheshimu wanaowataka na kuwapoteza.
Hawa watu ni wamoja ktk kuchomoa roho zetu.
 
Back
Top Bottom