Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Huyu bana CJ is a free-mason, that is why he says the stud is a religious symbol. ikitolewa hayupo!
Huyu bana CJ is a free-mason, that is why he says the stud is a religious symbol. ikitolewa hayupo!
The question remains, why has the immigration official been suspended yet Kimemia is still in office? He was working under the express orders of Kimemia? Wapi hao walisema otherwise?
and i have known you to be retarded
...Political patronage.
The poor guy is taking the fall while all he did was carry out instructions of his Boss.
Immigration staff suspended over Mutunga's JKIA drama
mekatilili dont label me a tribalist cz wat u pipp preach z nt wat u drink jst luk u say ur kenyan bt wen Uhuru vies u say the kikuyu have gt the prezidency twice n so shld nt vie then seems kikuyu r nt kenyans to u if u wont feel ur nt comfortable wid Uhuru z president then hama n go to somali cz me ata Rao wins i will jst respect his presidency
Sioni kwa nini Kimemia analaumiwa kwa hili wakati ni dhahiri uzembe ulikuwa ni wa Immigration Officer, ukisoma press conference ya CJ utaona hata yy mwenyewe anasema Circular yliyoto;ewa ilikuwa haimtaji CJ- kwa hiyo makosa ni ya IO na anastahili kilichompata- angalia hapa chini sehemu ya alichosema CJ
Further, the said Circular that he was invoking to make this illegal demand and decision did not -- rightly so -- even have the Chief Justice listed among the Public Officials on it.
acha fujo mzee hii thread si ya barabara ya Kibaki bali kuhusu vitisho dhidi vya CJ wao· Also, its wrong politically and technically .Kipindi hiki zimebaki wiki 2 kabla ya uchaguzi mkuu Kenya na tayari Raila Odinga ameshalalamika kwamba Rais Mwai Kibaki anatumia vyombo vya Dola vikiwemo usalama wa Taifa kumhujumu.Uchaguzi wa Kenya bado umegubikwa na ubaguzi wa ukabila.Tanzania tumeanza ku-experience ubaguzi wa kidini.Si jambo zuri kumtunukia heshima kiongozi ambaye alionyesha tabia za uroho wa madaraka na kuchochea siasa za kikabila au ubaguzi wa aina yoyote.Pamoja na kwamba anatoka Madarakani ,Rais alitakiwa achukue tahadhari na akumbuke yaliyotokea Kule Nigeria June 12,1993 ambako matokeo ya uchaguzi uliokua wa kidemokrasia zaidi katika Historia ya Nigeria ambao Chief Moshood Kasimawo Abiola alishinda lakini Rais aliyekua Madarakani Mtawala wa kijeshi Jenerali Ibrahim Babangida ingawa hakua mgombea ila kwa hofu ya kimaslahi tu aliharamisha matokeo ya uchaguzi na kumkamata Chifu Mashood Abiola kama Rais Mteule na kumuweka Ndani hadi miaka 5 ilipopita bila kuapishwa.Hii ndiyo sura halisi ya madikteta na wabaguzi.Hizi ndizo elements alizoonyesha Mwai Kibaki katika mashambulizi dhidi ya demokrasia. The verbal dribbler and seasoned lier.
- Hiki ndicho nilichosema jana katika Note yangu social networks:
- Napinga Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumualika Rais Mwai Emilio Kibaki wa Kenya na kumpa heshima ya Brabara ya Bagamoyo kuitwa kwa jina lake(Old Bagamoyo Rd itaitwa Mwai Kibaki Road) ni fedheha kwa Taifa,ni fedheha kwa wapenda Demokrasia na ni fedheha kweli kweli kwa jamii iliyostaraabika na inayoonea huruma wahanga(victims) wa machafuko ya uchaguzi mkuu wa Kenya wa mwaka 2007 ambao Kibaki alituhumiwa kutumia vyombo vya Dola kuiba Kura na hivyo kupelekea machafuko na watu wengi kupoteza Maisha.
Rais Jakaya kikwete alijipambanua kama mmojawapo wa waliosuluhisha mgogoro ule nchini Kenya na sote tunashuhudia kilichofuata Baadae kwamba alitunukiwa Tunzo ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo ha Jommo Kenyatta.Tabia hii ya kulindana(culture of Impunity) ndiyo inayofifisha mchakato wa kidemokrasia (undermining democratic process) hapa Afrika.
He is just another African desport, from the sit-tight school of dictators klepto and megalomaniacs.
These old spent fuels think their nations cannot do better without them, hence they device all kinds of guises and rigging to stay in office for ever. It will be a long time before we get another Julius Nyerere or Nelson Mandela in Africa!
Hi ni kejeli kwa waliopewa heshima hiyo kama akina Nelson Mandela,Kwame Nkrumah,Samora Machel,Mwl.J.K Nyerere,Shekilango,Bibi Titi n.k
Suala la kinana kuteuliwa na EAC kusimamia uchaguzi nchini Kenya nalo ni kituko cha jumuiya hii kwani huyo alituhumiwa kupanga wizi wa kura uchaguzi mkuu Tanzania mwaka 2010.Ni adui wa demokrasia na hawezi kuwa custodian wa demokrasia.Alituhumiwa kushambulia demokrasia(assault on Democracy).Africa we still have a long way to go
C
· C:Rashid Mohamed(Mwenyekiti wa vijana ODM),Mwai Kigenyi Mwai,Ababu Namwamba,Caesar Aja,Faulina Waithîra Waithîra,Mwalimu Simon Gichuki,Paul Gitau,LMunishi Faustin DailyNews,Al Mo,Kimtai Isaiah,Bernard Kipkoech Langat
·Top of Form·Bottom of Form
Mkuu,
fuatilia mtiririko wa hii sakata nd'o utaelewa Kimemia kaingia vp humu.
Kumbuka jamaa alimzuia Jaji mkuu kwanza na kumuambia hawezi kusafiri. Bwana Mutunga
alipomuuliza kwa nini, ndipo jamaa wa Immigration wakamwambia ni instructions kutoka
kwa Kimemia. Kisha alipozidi kuhoji zaidi akaonyeshwa hio circular na jamaa bado wakamzuia
japo jina lake halikuwemo. Hapa jaji mkuu alitaka hawa jamaa wa-Immigration waelewe kua
yeye (Bw. Mutunga) does not fall into that category lakini bado hawa kutaka kuelewa.
Kisha baada ya hapo akaambiwa kua wanasubiri further instructions from Kimemia before letting
him travel. Baadae nd'o wakaambiwa wamuache jamaa asafiri. Sasa kufikia hapa notice Kimemia's
name is all over this story na ujiulize kweli junior officers wa uhamiaji wanaeza waktumia jina la
mkuu wa civil service kiholelaholela namna hio wakijua wazi kua ndiye bosi wao? Thats not even
near possible. That man is very powerful. Kwa fupi anakaa benet na Rais wa nchi at all times. Katika
nchi ya Kenya huyu bwana ana nguvu hata kumshinda makamu wa Rais na Waziri mkuu!
Tafakari hapo.
Kisha jiulize mbona Gichangi mkuu wa CID kampigia Jaji Mkuu simu akiwa bongo na kumpa pole
kwa usumbufu kwa hili jambo dogo (katumia maneno 'small hiccup').
Inabidi umfahamu huyu Jaji Mkuu tangia siku za udikteta wa Rais Moi...jamaa alikua anapiga digrii
ya uanasheria chuo kikuu cha Nairobi na alikua kiongozi mpambanaji amabye Moi alimuona sumu.
Baadae aliswekwa lupango kuzorota lakini Mungu mkubwa alitoka na kuendelea na mambo yake ya
kupigania haki za binadamu na kuikomboa Kenya kutokana na udikteta wa Moi. Hapa Kibaki na watu
wake wameingia choo cha kike na walidhania jamaa atarudi kutoka bongo kisha achunie story.
Kisha Bw. Mutunga amewaingiza polisi katika hii ishu na polisi fall under Kimemia's office and the buck
stops with him whichever way this story is diced.

Your hatred for the CJ is disturbing. Why do you despise him so much. I realize it is mainly because your tribal warlords know he is standing between them and the rigging of the elections but you take this to the next level.
African men: the Maasai, Samburu, Luo-most Nilotes-have been wearing studs/ earrings or some sort jewelry are they all free masons too?
Can you substantiate your claims if this was brought against you in a libel case?
tatizo lako nini kijana? mbona babu zako walikuwa wanatoga hapo kale? kabla ukoloni haujaja?......A VERY BEAUTIFUL MAN....
tatizo lako nini kijana? mbona babu zako walikuwa wanatoga hapo kale? kabla ukoloni haujaja?
Dr Mutunga hana degree toka University of Nairobi amesomea University of Dar es salaam (either LLB or LLM) and a doctorate from York University in Toronto as he was forced to go exile! Though i am not sure 100% if he finished his degree at UON!