johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Askofu Mwamakula na Shehe Ponda ni wafuasi wa Chadema!Mkutano uongozwe na mtu huru kama Askofu Mwamakula, Mzee Butiku, Jaji Warioba, Fatma Karume....
Basi tupendekeze majina matatu ya atakayeongoza huo mmadaka.Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari
Mkutano uongozwe na mtu huru kama Askofu Mwamakula, Mzee Butiku, Jaji Warioba, Fatma Karume....
Hakuna hiyo , kama mnasigina Katiba hiyo ambayo kwa 90% inawabeba ndio mtamheshimu huyo "MTU HURU" Ambaye katiba haimtambui ?Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari
Ufuasi wa chama ni Kadi je wana kadi za chama?Askofu Mwamakula na Shehe Ponda ni wafuasi wa Chadema!
4.Maria Sarungi 5.Fatma Karume.Basi tupendekeze majina matatu ya atakayeongoza huo mmadaka.
1. Jenerali Ulimwengu
2. Jaji Warioba
3. Askofu Bagonza
kenya itafaa zaidi..kwa hapa Tz ni vigumu sana kupata mtu huru.
..labda watafute msuluhishi toka NJE YA NCHI.
..nawashauri watafute Jaji Mstaafu toka Kenya, Malawi, au Zambia.
Hakuna hiyo , kama mnasigina Katiba hiyo ambayo kwa 90% inawabeba ndio mtamheshimu huyo "MTU HURU" Ambaye katiba haimtambui ? Hatutashiriki hiyo kitu
Mutungi hadi muda huu hajui majukumu yake kama msajili wa vyama vy siasa. Hivi kuna logic gani vyama vy siasa kukutana na Siro? Wakati sheria na miongozo iko wazi?Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.