Jaji Mutungi: Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ndio maana mkutano wa vyama vya siasa utaongozwa na mtu huru

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
 
Basi tupendekeze majina matatu ya atakayeongoza huo mmadaka.

1. Jenerali Ulimwengu
2. Jaji Warioba
3. Askofu Bagonza
 
Kwahiuo jaji Mutungi amekuwa kuwa yeye sio mtu huru. Kuna siku watasema kila kitu
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
 
Jaji Mutungi anapaswa kujiuzulu, hii kazi imemshinda kwa sababu anashindwa kuficha ukada wake wa CCM!
 
Napendekeza hao watu huru wawe ni Fatma Karume, Maria Sarungi na Jenerali Ulimwengu...
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
Hakuna hiyo , kama mnasigina Katiba hiyo ambayo kwa 90% inawabeba ndio mtamheshimu huyo "MTU HURU" Ambaye katiba haimtambui ?

Hatutashiriki hiyo kitu
 
Huo mkutano ukiongozwa na mtu huru mapendekezo yake yatafanyiwa kazi na serikali ya CCM hata kama hayatawafurahisha CCM?

Huyo mtu huru atapatikana kwa utaratibu upi? asijekuitwa huru kumbe ana kadi ya CCM mfukoni.
 
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.

Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.

Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.

Chanzo: ITV habari
Mutungi hadi muda huu hajui majukumu yake kama msajili wa vyama vy siasa. Hivi kuna logic gani vyama vy siasa kukutana na Siro? Wakati sheria na miongozo iko wazi?

Mutungi alitakiwa kumwambia Siro ana vunja katiba kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani. Mbona hazuii mikutano na vikao vya Ccm??
 
Back
Top Bottom