johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru.
Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe Huru.
Mutungi pia amefafanua kuwa Wadau wa siasa siyo vyama vya siasa peke yake bali ni pamoja na Waandishi wa habari, Wana harakati nk.
Chanzo: ITV habari