Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

Hawaoni aibu aise hata hivyo vyama uchwara havina watu mtaani mfano chama kama UDp ,TLP, CHAUSTA , DEMOKRASIA MAKINI aise sijui hata viongozi wake wanapatikanaje
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.

Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.

Amejifunza mipasho kutoka kwa Samia Kopa.
 
Screenshot_20261006-193938~2.png
 
Kama halijamuuma asingelisema hayo, kutofika kwa chadema kumeonesha kilikuwa ni mkutano wa ccm 😅. Cdm haipo kuwafanyia ngazi kwenye uchafu wao.... Ww unaumia cdm kutofika wakt 18 vyoooote vipo ...tafsiri nyepesi nikuwa hivyo 18 vyote havina uzito sawa na cdm.
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.

Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.

Yes,
msajili wa vyama vya siasa nchini yuko sahihi 100%🤝
 
Yeye Mutungi ndiye anayejitafuta kwa sababu hawezi kufanya kikao chake bila kutaja hicho chama anachodai kinajitafuta. Na asingetoa kauli kama hii wala hakuna mtu anagejua kama alikuwa anafanya uchaguzi na amekutana na hivyo vyama rafiki. Kwa kifupi Mutungi ametafuta kiki tu atoke vipi na kikao chake
 
Tanzania Kuna chama kukuu kimoja Cha siasa ambacho ni chadema
CCM chama Dola
VYAMA vilivyobaki - nyama ndan ya CCM( asilimia kubwa)

Asa mbona kina susa susa kila mda
 
Back
Top Bottom