Hivi,bado wanaridhiana au tayari wameridhishana?ccm na matawi yake wamekutana
Atakufa kifo kibayaMsajili wa CCM na matawi yake.
Na,wangekuwepo hapo lazima angetokwa jasho la meno.Hicho chama kinachojitafuta kimepotea?
Amejifunza mipasho kutoka kwa Samia Kopa.Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Kile chama Cha doyo? Nilimkuta millennium towers anaelekezwa Cha kusema na Watu wa TISS .wakati wa maandalizi ya maandamano yachademaTanzania Kuna chama kukuu kimoja Cha siasa ambacho ni chadema
CCM chama Dola
VYAMA vilivyobaki - nyama ndan ya CCM( asilimia kubwa)
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Yes,Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Yeye Mutungi ndiye anayejitafuta kwa sababu hawezi kufanya kikao chake bila kutaja hicho chama anachodai kinajitafuta. Na asingetoa kauli kama hii wala hakuna mtu anagejua kama alikuwa anafanya uchaguzi na amekutana na hivyo vyama rafiki. Kwa kifupi Mutungi ametafuta kiki tu atoke vipi na kikao chakeMsajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.
Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake
Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.
Tanzania Kuna chama kukuu kimoja Cha siasa ambacho ni chadema
CCM chama Dola
VYAMA vilivyobaki - nyama ndan ya CCM( asilimia kubwa)