Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

Mbona una makasiriko? Huo mkutano ni wa lazima kushiriki? Je Chadema wasipoenda inazuia mtungi na vyama vingine kuendelea na vikao vyao? Mbona inawauma sana chadema kutokushiriki?
Inawezekana ujui kua CHADEMA inatumia pesa za walipa kodi tangia hapo
 
Huyu school mate wangu namjua hana tofauti na Kasesela kwa tabia za kujikomba kwa wakubwa, kasahau alivyokuwa anavaa vikaputula vya kaki enzi hizo, ila huyu nshomile ana ujivuni tangia enzi hizo na kwenye dili ndie mwenyewe, kule Arusha wanamjua.
 
Inawezekana ujui kua CHADEMA inatumia pesa za walipa kodi tangia hapo
Kwa hiyo makasiriko yako yanachangiwa na hizo kodi wanazopewa chadema?
Unaweza kutuambia hapa wanapewa kiasi gani cha hizo kodi kwa mwezi au kwa mwaka? Chama kisicho na diwani/ mbunge kinapewa ruzuku/kodi kwa sheria ipi?
 
Nchi hii inapande mbili tu, ccm inayotiwa nguvu na dola na chadema inayotiwa nguvu na wananchi. Mtungi anaelewa ndio maana anaogopa hata kutamka neno chadema. Hivyo vyama vingine vyote vinaupande hakuna kilichoneutral.
 
Mkuu wanachama wa CCM wa Tanganyika wajanja watakiunga na Chama kitakacho chukua nchi
Kwanza ccm haina wafurukutwa ina wanachama maslahi tu, ndio waliobaki. Amini usiami ikitokea paa! ccm ikaanguka, nakuhakikishia hautapita hata mwezi, hutasikia mtanzania yeyote anajiita yeye ni ccm.
 
Jinsi uchawa ulivyoshika hatamu, hata usomi hauna maana tena.....
 
Kwa hiyo makasiriko yako yanachangiwa na hizo kodi wanazopewa chadema?
Unaweza kutuambia hapa wanapewa kiasi gani cha hizo kodi kwa mwezi au kwa mwaka? Chama kisicho na diwani/ mbunge kinapewa ruzuku/kodi kwa sheria ipi?
Kumbe CHADEMA imeanzishwa mwaka 2025..Nilikua sijui ili mkuu. Kama ni hivyo basi CHADEMA aijawai kutumia kodi zetu ata na bara bara zilizo nchi awazitumii pamoja na ulinzi awapewi. CHADEMA TUNAENDA IKULU
 
Kumbe CHADEMA imeanzishwa mwaka 2025..Nilikua sijui ili mkuu. Kama ni hivyo basi CHADEMA aijawai kutumia kodi zetu ata na bara bara zilizo nchi awazitumii pamoja na ulinzi awapewi. CHADEMA TUNAENDA IKULU
Inawezekana ujui kua CHADEMA inatumia pesa za walipa kodi tangia hapo

Hicho kiswahili ni wewe umeandika au uliandikiwa?
 
Inawezekana ujui kua CHADEMA inatumia pesa za walipa kodi tangia hapo

Hicho kiswahili ni wewe umeandika au uliandikiwa?
Wewe ndiye ulie andika au umeandikiwa hicho Kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…