Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

Jaji Mutungi: Vyama vyote vimefika, isipokuwa kile kimoja kinachojitafuta

Chadema wamekuwa ACT mana ACT wapo zaidi Zanzibar

Na Chadema wamekuwa na maeneo yao tu mikoa iyo ndio mpaka sasa Chadema wanazunguka zunguka zaidi kukusanya tone tone

ACT na Chadema wanagawana maeneo kutokana na Dini za eneo usika!!!!
Unajitahidi tena kwa kutumia nguvu,kufananisha CHADEMA na ACT lakini bado hesabu hazikubaliani.Mbingu na jehanamu.
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama kina ratiba na shughuli zake za kisiasa, hivyo kutokuwepo kwa chama hicho hakuwezi kutafsiriwa vinginevyo, huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano baada ya uongozi mpya kupatikana.

Soma pia >>> Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Amesema ingawa uchaguzi huambatana na ushindani na misuguano ya hapa na pale, matokeo yake huzaa washindi na walioshindwa, lakini uchaguzi unapokamilika vyama vinapaswa kurejea kuwa kitu kimoja na kujenga ari ya ushirikiano pamoja na mshikamano wa kitaifa.

Kumbe
 
ACT kwasasa wanapata nguvu zaidi baada ya Chadema kujiegeshea kwenye Dini kuliko kawaida!!!
Unajitahidi kuandika kila siku lakini watu wameshakushtukia sana tu. Wewe ni 'mtoto sio ridhiki' Masheikh 'wamekuharibu'
 
Kuna vyama ambavyo vimesajiliwa na anayevijua ni msajili tu. Havina muda na mambo ya wananchi


Vinapata nguvu na maneno mengi wakisindikiza uchaguzi😂😂😂😂
 
Chadema ya sahv imejaa upumbavu mwingi, ni viongozi wasiojitambua, utafikiri sijui watoto? Sijui wanafikiri watabembelezwa? Nafikiri wanategemea siku moja wataingia madarakani kwa njia ya uasi na mapinduzi km walivyojaribu mwaka jana. Sema kwanza wanajipotezea muda, wanamtumia huyu Rais vibaya, siku akiingia mtu km Magufuli anawafutilia mbali km ambavyo kipindi cha Magu hao mambwa walikimbia nchi. Mwisho wa hao nyumbu chadema ni kufutwa usajili, wameharibu vijana wetu hao ni kikundi haramu kifutiliwe mbali.
CHADEMA imeawaachia muendelena mambo yenu. Haikushiriki uchaguzi iliwaachia wenyewe mkajaziana kura, Sasa mnahangaika nayo ya Nini?
 
We bwege hakuna chama hakina wanachama vinginevyo visingesajiliwa. Km chadema ina wanachama hai kwanini tone tone? Hiyo michango iko wapi? ACT wana wabunge, ni sehemu ya serikali kule Zanzibar mnajilinganisha na chama kisicho na hata diwani moja au hata mwenyekiti wa kitongoji? Uhai wa chadema unaoneshwa na nini?
CHADEMA ipo site inafanya mikutano, nyie mmejifungia na huyo msajili wenu mnapika majungu.
 
Mali ya ccm
Na nyie kuna wakati mnaboa sana..yaani kila kitu kuzila,kupinga na kukataa mnataka kua nyie muonekana wa maana kuliko vyama vingine? Ili ni moja ya makosa mnayofanya ata kama mbaki mkipinga ila ndivyo ilivyo
 
Na nyie kuna wakati mnaboa sana..yaani kila kitu kuzila,kupinga na kukataa mnataka kua nyie muonekana wa maana kuliko vyama vingine? Ili ni moja ya makosa mnayofanya ata kama mbaki mkipinga ila ndivyo ilivyo
OK nikusaidieje mkuu kwenye hili
 
Back
Top Bottom