TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, kilichotokea tarehe 27 Desemba, 2024, nchini India ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Tume, mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini kwa maandalizi ya mazishi, ambayo yamepangwa kufanyika kijijini kwao Bicha, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, tarehe 30 Desemba, 2024.View attachment 3186811
Alikuwa ameolew... wapi?
 
RIP Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko,.
1735413754429.jpeg

Picha maktaba : Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, akikagua orodha ya wapiga kura.

View: https://m.youtube.com/watch?v=GLDch6D0whM
Video maktaba: Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha Athumani Kwariko, awataka makarani kuacha kufanya kazi kwa mazoea

TUMAINI JIPYA TUME HURU YA UCHAGUZI
Nafasi hiyo inamfaa wakili wa mahakama kuu msomi mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mwanaharakati mtaka mabadiliko anayekubalika kuweza kuweka mbinyo wa mabadiliko ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea michakato huru na utangazaji matokeo sahihi ya kura uchaguzi 2025
1735413133742.jpeg

Picha : mwanaharakati wa demokrasia na haki mheshimiwa Tundu Lissu aliye pia makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara.
 
Back
Top Bottom