TANZIA Jaji Mwanaisha Kwariko, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, afariki dunia

Alikuwa ameolew... wapi?
 
RIP Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko,.

Picha maktaba : Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko, akikagua orodha ya wapiga kura.

View: https://m.youtube.com/watch?v=GLDch6D0whMVideo maktaba: Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha Athumani Kwariko, awataka makarani kuacha kufanya kazi kwa mazoea

TUMAINI JIPYA TUME HURU YA UCHAGUZI
Nafasi hiyo inamfaa wakili wa mahakama kuu msomi mheshimiwa Tundu Antipas Lissu mwanaharakati mtaka mabadiliko anayekubalika kuweza kuweka mbinyo wa mabadiliko ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea michakato huru na utangazaji matokeo sahihi ya kura uchaguzi 2025

Picha : mwanaharakati wa demokrasia na haki mheshimiwa Tundu Lissu aliye pia makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara.
 
RIP Judge, pole kwa mpambe wako afande XYZ WA FFU ambaye tumecheza nae utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…