Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14

Lissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.

Chukua hii mkuu.
 
Shinikizo za nje zimewakaba watu, wanashindwa kupumua. Ikiendelea baada ya hizo siku, pumzi itakata.
Anayechelewesha Kesi ni Mshitakiwa mwenyewe Shahidi anachoongea na Shitaka la Mtuhumiwa ni vitu viwili tofauti yaani mashahidi wake hawamtoi kwenye Kosa la Uhaini alilolifanya
 
Litakuwa jambo jema sana baada ya siku 14 Lissu anahukumiwa kunyongwa hadi kufa. I can't wait!!!!
 
Lissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.

Chukua hii mkuu.
We will see. Ikitoka hukumu hii, nitafute tupate dinner na mvinyo. Bill on me
 
Atakuwa amekinai posho, au ni maagizo kutoka juu yanamtaka afanye hivyo. Kinyume na hapo hii kesi alitakiwa aimalize muda mrefu uliopita.
 
Sema yote, Lia Lia au uruke uruke lakini hukumu ni ile ile: mwenyekiti ana hatia

Serikali feki ITASHINDWA hii kesi.

Fahamu, mwenye criminal law treason requires a very high threshold of proof lakini vilevile ionekane huyo mtu amefanya vitendo physically kutenda hii treason.

Hila za serikali kusingizia msemo wa political party kwamba ni kitendo cha uasi hapa serikali inashindwa asubuhi kweupe.

Kingine, kutumia walicho post/andika Jambo Tv kama moja ya ushahidi kumframe Lissu na treason ni hoja dhaifu sana. Hakika serikali feki inafahamu inaenda kushindwa.
 
Hawa majaji sasa hivi ndo wanaona wanaharaka na hii kesi. Huko nyuma wenyewe ndo walishiriki uhun wa kuchelewesha. Tukio ni moja tu, lkn ushahidi ulivyokuwa unakusanywa na akina katuga utasema ni matukio mia tano yalifanyika. Kumbe ni masuala ya venue moja
 
Lissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.

Chukua hii mkuu.
Tungekuwa tunajiweza kibajeti hata 65% nakuhakikishia wangefanya hivyo...

Sisi bajeti karibu nusu tunaomba huko kwa wanaoitwa mabeberu..

Akifungwa unafikiri Court of Appeal watakubali huu ujinga...wa sijui kukinukisha...iwe Uhaini?
 

Wote tulikia tunasikiliza siku hizi magazeti hayana nguvu kwenye propaganda ndo maana CCM wasiokwenda na mabadiliko wanaishi kwa mazoea wametumbukiza Tanzania kwenye mauaji ya October 29 ambayo yalikua yanahepukika
 
Lissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.

Chukua hii mkuu.

Huo ubavu hawajawa nao bado
 
Hizo zote ni remote tu lakini kesi ina mwenyewe, labda kama ameshapewa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…