Hivi mashahidi wa lissu akimaliza heche anafuatia nani, je wale wakenya nao watakuja ?
..baada ya Heche wanatakiwa watu wa serikali, kwa maana, Mama Abduli, Mpango, Majaliwa, Mkunda, na Wambura.
Hivi mashahidi wa lissu akimaliza heche anafuatia nani, je wale wakenya nao watakuja ?
Kosa ni watz wanaoisapoti ccmCCM wapumbavu sana
OK my foot.
Kwani mwenye nchi anasemaje, huenda amempigia simu sasa amekwama namna ya kummwamwenda.Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeongeza siku 14 za usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, huku ikizitaka pande zote kushirikiana ili shauri hilo likamilike ndani ya muda huo.
Usikilizwaji wa kesi hiyo ulianza Agosti 10, 2026, na kwa mujibu wa ratiba ya Mahakama, ulitarajiwa kukamilika Septemba 7, 2026. Hata hivyo, muda uliopangwa ulifikia mwisho huku shahidi wa nne wa upande wa utetezi akiwa bado hajakamilisha ushahidi wake wa msingi.
Kutokana na hali hiyo, Jaji Dunstan Ndunguru, anayesimamia jopo la majaji watatu pamoja na Jaji James Karayemaha na Jaji Ferdinand Kiwonde, alitangaza kuongezwa kwa siku 14 za usikilizwaji.
Jaji Ndunguru amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha kesi hiyo inakamilika ndani ya muda huo, huku akizitaka pande zote kuweka ushirikiano katika mwenendo wa shauri.
“Mtakumbuka kuwa kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya usikilizwaji wa kesi, leo ilikuwa ndio siku ya mwisho kusikiliza shauri hili,” alisema Jaji Ndunguru.
Aliongeza kuwa shauri hilo limeongezwa siku 14 kuanzia Septemba 7, kwa lengo la kuhakikisha linamalizika ndani ya muda huo.
Jaji huyo pia amezitaka pande zote kuepuka kuuliza maswali au kuibua mambo ambayo hayana msingi katika shauri na ambayo hayatahusika katika uamuzi wa kesi, akisema kufanya hivyo kunaweza kupoteza muda wa Mahakama.
Katika hatua nyingine ya mwenendo wa kesi hiyo, shahidi wa nne wa upande wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, ameendelea kutoa ushahidi kuhusu mkutano wa chama uliofanyika Aprili 3, 2025. Rupia amedai kuwa Lissu hakuwa mratibu wa mkutano huo wala hakualika vyombo vya habari.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 8, 2026, ambapo shahidi huyo anatarajiwa kuendelea na ushahidi wake wa msingi kabla ya hatua zinazofuata za usikilizwaji.
MY TAKE
Ni kweli kuna upuuzi mwingi ambao hauhusiani KABISA na issue ya uhaini, ni takataka wanazileta akina Katuga.
Nilisema tangu mwanzo kuwa hakuna incriminating evidence ya kumuweka Lisu kwenye uhaini. Ujinga mtupu. Tutakinukisha in all walks of life huwezi kuihusisha na uhaini!
Uasi siyo lazima uwe uhaini, unaweza kumhasi Baba yako, lakini si kusema siyo Baba au unataka kumuua, unaweza kukataa maelekezo yake ambayo unaona siyo haki. Uasi not necessarily uwe uhaini....
Suala la kumfunga siamini sana maana ni kuendeleza mpasuko tu ndani ya taifa ambalo tayari limeshahawanyika wananchi dhidi ya watawala haramuTunajua hukumu ya kifungo imeshaandikwa
Hakuna cha kunyongwa wala kuhukumiwa maji yameshawafika shingoni hapa wanapoteza tu muda kutafuta namna ya kumuachiaLissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.
Chukua hii mkuu.
Hilo ndiyo tatizo kuu si uliona hata wakati wa kadhia ya Mo29 kuna mikoa yalikaa kama kondoo tu hivi mkuu imagine mikoa yote tungekinukisha kwa pamoja kwa nguvu ileile ingekuwaje?Kosa ni watz wanaoisapoti ccm
Heche ni wanne(4) kiongozi kwa kuwa Mshtakiwa ni ndiye shahidi namba moja (1), na alijitetea kama shahidi wa kwanza(1) that dayHeche ni wa tatu, ila bado hajatoa. utetezi wake.
Hata Nchimbi na Polepole?CCM wapumbavu sana
Kijana hili swali lako hebu ngoja nilinywee castle lager nilipatie ufumbuzi maana ni swali jadidifuHata Nchimbi na Polepole?
Mahakama ya rufaa haipokei maelekezo kutoka juu?Hujui uwepo wa mahakama ya rufaa?
Kwani yule mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliyetangaza matokeo ya kupikwa ana tofauti ipi na wakina Ndunguru ?Shida ya hii kesi ni kwamba ukimtia hatiani Lissu kwa sababu yoyote ile, adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Kila mtu anajua hakukuwa na nia ya kufanya UHAINI wala Ugaidi. Hadly ingekuwa “uchochezi”, ambapo bado ingekuwa ngumu kuprove nani alikuwa “anachochewa” ili afanye nini
Jaji Ndunguru na wenzie sidhani kama wanaweza kukubali kuingizwa kwenye historia ya kutenda dhambi kubwa kiasi hicho
Kama hao mashahidi wa serekali kama hawakuja itakuwaje?Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeongeza siku 14 za usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, huku ikizitaka pande zote kushirikiana ili shauri hilo likamilike ndani ya muda huo.
Usikilizwaji wa kesi hiyo ulianza Agosti 10, 2026, na kwa mujibu wa ratiba ya Mahakama, ulitarajiwa kukamilika Septemba 7, 2026. Hata hivyo, muda uliopangwa ulifikia mwisho huku shahidi wa nne wa upande wa utetezi akiwa bado hajakamilisha ushahidi wake wa msingi.
Kutokana na hali hiyo, Jaji Dunstan Ndunguru, anayesimamia jopo la majaji watatu pamoja na Jaji James Karayemaha na Jaji Ferdinand Kiwonde, alitangaza kuongezwa kwa siku 14 za usikilizwaji.
Jaji Ndunguru amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha kesi hiyo inakamilika ndani ya muda huo, huku akizitaka pande zote kuweka ushirikiano katika mwenendo wa shauri.
“Mtakumbuka kuwa kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya usikilizwaji wa kesi, leo ilikuwa ndio siku ya mwisho kusikiliza shauri hili,” alisema Jaji Ndunguru.
Aliongeza kuwa shauri hilo limeongezwa siku 14 kuanzia Septemba 7, kwa lengo la kuhakikisha linamalizika ndani ya muda huo.
Jaji huyo pia amezitaka pande zote kuepuka kuuliza maswali au kuibua mambo ambayo hayana msingi katika shauri na ambayo hayatahusika katika uamuzi wa kesi, akisema kufanya hivyo kunaweza kupoteza muda wa Mahakama.
Katika hatua nyingine ya mwenendo wa kesi hiyo, shahidi wa nne wa upande wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, ameendelea kutoa ushahidi kuhusu mkutano wa chama uliofanyika Aprili 3, 2025. Rupia amedai kuwa Lissu hakuwa mratibu wa mkutano huo wala hakualika vyombo vya habari.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 8, 2026, ambapo shahidi huyo anatarajiwa kuendelea na ushahidi wake wa msingi kabla ya hatua zinazofuata za usikilizwaji.
MY TAKE
1. The judge is also to blame. WHY? Katika ushahidi wa Katuga, hapakuna na ushahidi wowote wa kumfanya Lisu to have case to answer. Ndiyo tatizo la maagizo kutoka juu! had it been that the judiciary is independent, Ndunguru would have pronounced a NO CASE TO ANSWER!
2. Ni kweli kuna upuuzi mwingi ambao hauhusiani KABISA na issue ya uhaini, ni takataka wanazileta akina Katuga.
Nilisema tangu mwanzo kuwa hakuna incriminating evidence ya kumuweka Lisu kwenye uhaini. Ujinga mtupu. Tutakinukisha in all walks of life huwezi kuihusisha na uhaini!
Uasi siyo lazima uwe uhaini, unaweza kumhasi Baba yako, lakini si kusema siyo Baba au unataka kumuua, unaweza kukataa maelekezo yake ambayo unaona siyo haki. Uasi not necessarily uwe uhaini....
ok.🐒OK my foot.
Dual lako na Lucas kutaka Lissu anyongwe halitatimia .kwanza wanakwepa kuamua Samuya na genge lake wafike mahakamani kutoa ushahidi.