Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14

Kwani mwenye nchi anasemaje, huenda amempigia simu sasa amekwama namna ya kummwamwenda.
 
Lissu atakutwa na hukumu ya Kunyongwa, atakaa gerezani, then atapunguziwa adhabu ya kuwa kufungo cha maisha, then 2032 atatolewa gerzani kwa msamaha wa Raisi.

Chukua hii mkuu.
Hakuna cha kunyongwa wala kuhukumiwa maji yameshawafika shingoni hapa wanapoteza tu muda kutafuta namna ya kumuachia
 
Kwani yule mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliyetangaza matokeo ya kupikwa ana tofauti ipi na wakina Ndunguru ?
 
Kama hao mashahidi wa serekali kama hawakuja itakuwaje?
 
Jaji Ndunguru aache maigizo, angekuwa anajali haki hii kesi ya mchongo isingetumia muda mrefu hivyo pia isingelifikia case to answer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…