Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Unachoona ni sawa, hawa hataenda nao kama akina Heche
 
Ikifika hawa waitwe baadae na Rais pia ataitwa
 
Lisu amejimaliza. Kumbuka kuwa uwanjanmpana alionao ni WA examination in chief , na kwa kuwa hawakubalianj haitakaa sawa. Katuga ana nafasi kubwa Sana kutengeneza kesi yake kupitia cross examinatio na kama lisu atajidanganya kuwa cross examine kwenye re examination atapigwa objections
 

Kwa mawazo yako unadhania mahakama haikuuliza kwanza ?

My friend kumbuka tuko Africa, sio ulaya
 
Tunaomba CV zao,ili wakiwa wanatolewa Jasho kizimbani, tuweza kutambua shida iliko!

1. IGP Camillius Wambura
2.DCI Ramadhani Kingai
3.CDF Jacob John Mkunda
Hivi unafahamu procedure za adversarial common law examination?

Hapo lissu kajimaliza mwenyewe kwa sababu KATUGA kapata watu wa kukamilisha ushahidi wake kwenye cross . Yeye kazi yake ni rahisi Sana. Ni kweli kwamba video ilihamasisha uhaini............Ndio. Wao ni ndio tuu. Lisu kwenye re examination Hana Cha kuwafanya kwa sababu nature ya maswali kwenye re examination ni tofauti na re axamination
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Lissu anafahamu hayo yote.

Msichojua kuna watu kibao tu huwapa hawa wapinzani infos hata za utekaji.

Haiwezi kuwa habari mbaya, Lissu anaenda kufanya kazi anayotakiwa kufanya, ruling sio kazi yake.

Mtu aliyepewa chances za kwenda kupiga goti aka goma kuna sad news kwake?
 

Nashangaa machawa wa Mboga mboga kisukari kiko juu, shida ni gani? Badala wao washerekee. Eti wanamuonea lissu kujimaliza.
Maajabu hayaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…