Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

Sinema imeanza
 
[QA cha ="The Priest, post: 15883128, member: 33076"]Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC[/QUOTE]


Acha kupotosha watu wewe , kama hujui vitu kaa kimya. Issue gani ya kiusalama sasa hapo? Watu tunataka kuona Tender documents,Contract Aggrement, certificates of payment n.k, hakuna alietaka kujua hizo mashine zao za fingerprint zinafanyaje kazi.
Think big
 
Reactions: 911
Patam hapo,hii inshu imekaa pazr,maana msema kwel mpenzi wa mungu anafkiria pakuanzia
 
Qumamae.

Yaani hii nchi ndipo ilipofikia, watu wanaiba sababu hamna wa kuwafanya kitu.pesa zimepigwa harafu full ubabe.nilijiuliza mwanzo polisi wakiiba ni nani atakuwa na jeuri ya kuwakamata ikiwa wao ndio wakamataji ninachokiona hapa ndio majibu ya nilichojiuliza.


Tafadhali jpm sitaki kupoteza imani yangu kwako kwenye hili swala, nipigie mtu hapa mpaka damu ziruke.
 
Hapo hamna ishu yoyote ya kiusalama kama watu wamefanya ubadhilifu sheria ifuate mkondo wake.

Procedure za hili zoezi kwenye tenda ziangaliwe na mkataba tujue unatakaje
 
Dah! Hapa kazi tu! ya kukingia vifua mafisadi na wapokea rushwa.

 
On a serious note. Ungetusaidia hoja ya ukweli
 
Mmmmh!!!
Utasikia Lugumi ashinda kesi sasa kuishitaki serikali
Angefunguliwa tu hata hiyo kesi ingekuwa nafuu kwa muda, kuliko haya yanayo endelea ya kutaka kusafishana.
 
watu wewe,jipu limejaa usaha...ok kalaleni sinema ya kutumbua majipu imefika mwisho...maskini walikuwa wanaonewa vidagaa tu na matamko makalimakali ya mikwara
 
Mamlaka ya juu? Hivi ni nani alie juu zaidi nchi hii? Nakosa majibu ingawa siamini mamlaka hii inaweza kuagiza hivyo kwa jinsi inavyo jaribu kutuaminisha kua haitaki longo longo
 
Usipo tafuta mwenyewe hakuna atake kutafutia, kila mtu anayake.

Hapa kazi tuu, mtaisoma namba, maisha bora kwa kila mtz na nk, zote hizo ni mbwembwe tuu za kuwatia hamasa majuha ili muwape wanacho kitaka.

Ukiktaka kujua siasa ni biashara ya mtu Fulani wambie naww wakupe chansi ya kuchaguwa km ulivyo wachangua wao, utaona tuuyakitokezea haya, utakatwa o utaambiwa fisadi o watakuzika siku sio zako.
 
Si unawaona Mkuu wale waliopokea rushwa toka ka Rugemarila hawana wasiwasi wowote na sasa wameanza kuleta kiburi cha hali ya juu. Yule mama wa hela ya mboga nasikia alitakiwa alipe kodi ya shilingi 581 milioni kutokana na hela haramu aliyopokea rushwa ya bilioni 1.6 pesa za Escrow sasa kaja juu anadai hiyo kodi ni kubwa sana. Kwenye nchi yenye kufuata sheria hawa wote walitakiwa kufilisiwa na si kuwatoza kodi kwa pesa haramu walizopokea.

Jamaa ni mnafiki wa kiwango cha juu sana!
 
Kuna watu wanastahili kuzomewa kwa unafiki!
 
Reactions: BAK
Huu mkataba nao unafigisufigisu nyingi, walioutaka ni PAC lakini tunasikia umeenda kamati nyingine mara PCCB wanaufanyia kazi sasa hao watu Rushwa wanaufanyiaje kazi wakati waliouomba hawajapewa na hawaja toa maoni au maazimio yao.
 
Katwanga is untouchable Na tukishaanza kuleta ushkaji katika mambo ya msingi tutegemee mambo Yale Yale ya mkwere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…