Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

Manyumbu leo wanasema ni sahihi ila kesho Kitwanga akitumbuliwa wataunga mkono pia maana wao ni manyumbu tu hawabadiliki.Watu wawajibishwe kwa ufisadi wowote siyo kulindana
 
Kwenye eneo la majeshi ni ngumu sana kutumbua majipu ndiyo maana hata CAG huwa hakagui sana kwenye eneo hilo na hasa JWTZ
Kama fedha za bajeti ya jwtz ni kodi za wananchi wa Tanzania basi CAG lazima akague. Wasitutee ujinga.
 
Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhilifu.

Katika habari zilizosambazwana watu wasiojulikana zinasema kwamba kampuni ya infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka katika kampuni ya Lugumi, jambo ambalo siyo la kweli na nilakupuuzwa na umma.

'Hatujawahi kufanya biashara na kampuni ya Lugumi Enterprises' Amesisitiza Bwana Sweki Donald Naibu Meneja Mkuu Infosys ips (T) LTD.SIKILIZA SAUTI

TAZAMA VIDEO
 
Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.

Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;

Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Kuna namna kingereza kimempiga chenga
 
Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.

Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;

Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Ina maana hakuna hiyo Lugumi?wewe nafikiri ndiyo muongo mkubwa.
 
GSam, msitafute sheria ya mtandao iwashukie. Mods nao wanapaswa kuwa makini zaidi na habari za kizushi kama hizi. What is so special with Luguma? CAG katoa audit querries katika maeneo mengi tu mbali mbali katika kipindi hicho (2013/14) kama kazi yake inavyotaka. Ripoti kaikabidhi kwa rais na rais kaikabidhi kwa bunge ili bunge iifanyie kazi kama ambavyo sheria inavyoelekeza. Bunge limeanza kuzifanyia kazi hoja hizi za CAG kwa kuanza na kamati za bunge kuzi scrutinize hizi hoja kabla ya kujadiliwa na kuamuliwa na bunge zima katika kikao chake kijacho. Sasa hizi kelele za akina Gsam sasa hivi ni za nini na kwa masilahi ya nani? Kwani hoja za CAG ni za Luguma tu? Kwani ya Luguma ndiyo hoja nzito kuliko zote kwenye ripoti hiyo ya CAG yenye kurasa zaidi ya 1,000?
 
Kwa nn kama ni maswala ya kiusalama iweje serikal ama wizara isingefanya manunuz direct kwa producer wa hayo makitu??
Na hata manunuzi ya silaha huwa yanafanywa na wakala wa kiraia??
Kama n hapana kwa nini serikal isingekuwa na idara ya kiusalama itakayokuwa inafanya manunuzi ya vifaa vyote vya kijeshi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama???
 
Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC
Usalama upi?kwani lugumi alikua na tenda ya silaha au kusupply tapes na mabuti ?
 
Dah! Hapa kazi tu! ya kukingia vifua mafisadi na wapokea rushwa.

Alisema siku anaapishwa kwamba ATATULINDA sasa nashangaa watanzania mnashangaa tunavyolindwa.Tuachieni wenyewe,majipu mengine ya kutumia antbiotics tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.

Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;

Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Punguza basi hayo mapovu,kwani ukisema kwa ustaarabu si utaeleweka tu?tunakujua kuwa unaitetea serikali siyo dhambi ni haki yako lkn kuwa mpole basi
 
Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.

Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;

Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Kama mleta uzi kasema uongo basi mkuu tunakuomba wewe mwenye ukweli tuwekee hapa ili tujuwe kuliko kutuwacha hewani
 
Watu ooohhh... Fisi kageuka Paka kumbe ni Mazingaombwe, tunasubiri ukweli.
Kwani kuuweka wazi kwa kamati husika kuna tatizo gani ama mlitaka hata magazeti yenu ya udaku udaku nayo yapewe? magazeti ya kuchonga ya kibongo.
 
Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC
Duuuuu,hao si ndio wateule wenu?sasa kwakuwa wamesimamia kwenye ukweli mshawageuka na kuwaona watafuta umaarufu?
 
Back
Top Bottom