maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Manyumbu leo wanasema ni sahihi ila kesho Kitwanga akitumbuliwa wataunga mkono pia maana wao ni manyumbu tu hawabadiliki.Watu wawajibishwe kwa ufisadi wowote siyo kulindana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama fedha za bajeti ya jwtz ni kodi za wananchi wa Tanzania basi CAG lazima akague. Wasitutee ujinga.Kwenye eneo la majeshi ni ngumu sana kutumbua majipu ndiyo maana hata CAG huwa hakagui sana kwenye eneo hilo na hasa JWTZ
Kuna namna kingereza kimempiga chengaTatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.
Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Akili za Watanzania wengi ni janga la dunia.Kwahiyo PAC Wanatafuta Umaarufu. Kwahiyo Mh Magu anapotumbua majipu anatafuta umaarufu. Tafakari Fikirisha Kichwa Chako.
Acha ujinga hapa chanzo ina maana hujui huyo Lugumi katupiga mamilioni ya umma?Chanzo cha habari ?
Ina maana hakuna hiyo Lugumi?wewe nafikiri ndiyo muongo mkubwa.Tatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.
Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Usalama upi?kwani lugumi alikua na tenda ya silaha au kusupply tapes na mabuti ?Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC
Ni ile ile mkuuMagufuli kashakuwa muigizaji hata nusu mwaka hajamaliza
Hizi movie haziwezi kuisha leobTanzania maana kila siku CCM inazalisha madirector wapya.....izi Movie sijui zitaishalini nchi hii!!!
Dah! Hapa kazi tu! ya kukingia vifua mafisadi na wapokea rushwa.
Punguza basi hayo mapovu,kwani ukisema kwa ustaarabu si utaeleweka tu?tunakujua kuwa unaitetea serikali siyo dhambi ni haki yako lkn kuwa mpole basiTatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.
Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Kama mleta uzi kasema uongo basi mkuu tunakuomba wewe mwenye ukweli tuwekee hapa ili tujuwe kuliko kutuwacha hewaniTatizo mnaingiza uwongo mwingi na udaku kwenye suala hili mpaka linakosa hata maana nzima au watu wengine wenye fikra pana wanaanza kujiuliza na kuangalia kilichoko nyuma ya suala zima.
Ninaamini habari umeitoa hapa halafu ukaiongezea uwongo na udaku kwa faida ya ajenda zako;
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta thread zenye hoja za uwongo au udaku?
Kwani kuuweka wazi kwa kamati husika kuna tatizo gani ama mlitaka hata magazeti yenu ya udaku udaku nayo yapewe? magazeti ya kuchonga ya kibongo.Watu ooohhh... Fisi kageuka Paka kumbe ni Mazingaombwe, tunasubiri ukweli.
Duuuuu,hao si ndio wateule wenu?sasa kwakuwa wamesimamia kwenye ukweli mshawageuka na kuwaona watafuta umaarufu?Huo ndio utaratibu issue za kiusalama sio kila mtu anapaswa kuziangalia na kujitafutia umaarufu kama hawa wajumbe wa PAC