Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kumbe yeye ndio anahusika na hii kashifa ya Lugumi!!!!Hivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
kwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?Mliongea sana na mlimtukana sana sasa dunia inawaumbua mchana kweupeee.
Kila kashfa ni nyie sasa sijui nae ni Lugumi au?
inategemea na aina ya mafunzo yote yanawezekanaKwa hiyo wewe unaona ni sahihi bilioni 5 kama inavyoripotiwa kama ni kweli kutumika kama malipo ya mafunzo ya watu watano?
Lowassa anaingiaje hapa?Anzisha uzi wake.kwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
Lowasa ametuibia sana watanzania...sasa hivi CHADEMA ndio mnakula pesa zake alizozipata kwa kuwaibia Watanzania masikiniKumbe yeye ndio anahusika na hii kashifa ya Lugumi!!!!
Na Je, Mhe.Rais Magufuli Aliposhinda Uchaguzi Ufisadi Wa CCM Uliishakwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
hivi hujui Lowasa anatumia pesa zake za ufisadi kuiyumbisha serikali?Lowassa anaingiaje hapa?Anzisha uzi wake.
Na Je, Mhe.Rais Magufuli Aliposhinda Uchaguzi Ufisadi Wa CCM Uliishakwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
waulize wenye vyombo vya dola.mamlaka ya kuwatia adabu mafisadi ipo mikononi mwao.kwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
Mmekosa hoja kujibu hii kashifa mnakimbilia kuntaja Lowassa.Lowasa ametuibia sana watanzania...sasa hivi CHADEMA ndio mnakula pesa zake alizozipata kwa kuwaibia Watanzania masikini
Magufuli ndio anahangaika kuumaliza Ufisadi lakini anakwamishwa na wakina LowasaNa Je, Mhe.Rais Magufuli Aliposhinda Uchaguzi Ufisadi Wa CCM Uliisha
****Hivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
kwani Lowasa hajatuibia? Pesa zake alizonunulia CHADEMA bilioni kumi ametoa wapi?Mmekosa hoja kujibu hii kashifa mnakimbilia kuntaja Lowassa.
Ndio maana watu wameamua kutukana kwasababu inakera kuona kuna unafiki.
Kama raia asie na dola anakwamisha serikali basi hiyo serikali inapaswa kujiuzulu.Magufuli ndio anahangaika kuumaliza Ufisadi lakini anakwamishwa na wakina Lowasa
ufisadi wa lowasa mbona mnauonea haya?****
"UIZI DHAHRI WA MALI NA FEDHA ZA UMMA SIO JAMBO LA KUONEA HAYA HATA KIDOGO"
Tuwe Siasa pembeni.
Fisadi ni wewe na Nyumba yakoHivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
Kama unaushahidi peleka takukuru. Acha kupiga kelele humu.Lowasa ametuibia sana watanzania...sasa hivi CHADEMA ndio mnakula pesa zake alizozipata kwa kuwaibia Watanzania masikini
Hii wafanyalo ni sawa na baba wa familia mpu.mbavu ambaye watoto wake wanakufa kila kukicha kwa maleria. Anaambiwa atumie vyandarua anakataa kwa vile Mganga tapeli kamuaminisha kuwa jirani yake anawaloga watoto.Kumbe yeye ndio anahusika na hii kashifa ya Lugumi!!!!
Graph ya ngosha iliyopandishwa kisiasa inashuka kwa speed ya rocket!!ufisadi wa lowasa mbona mnauonea haya?