Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

Jaji Rwegasira: Nimeagizwa na ngazi ya juu kuulinda mkataba wa LUGUMI

Hivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
Kumbe yeye ndio anahusika na hii kashifa ya Lugumi!!!!
 
Mliongea sana na mlimtukana sana sasa dunia inawaumbua mchana kweupeee.
Kila kashfa ni nyie sasa sijui nae ni Lugumi au?
kwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
 
Kila mtu eti maagizo yalitoka juu,
mahakama haijui hilo kama umeiba utaisoma tu
 
Lowasa ametuibia sana watanzania...sasa hivi CHADEMA ndio mnakula pesa zake alizozipata kwa kuwaibia Watanzania masikini
Mmekosa hoja kujibu hii kashifa mnakimbilia kuntaja Lowassa.

Ndio maana watu wameamua kutukana kwasababu inakera kuona kuna unafiki.
 
Hivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
****
"UIZI DHAHRI WA MALI NA FEDHA ZA UMMA SIO JAMBO LA KUONEA HAYA HATA KIDOGO"
Tuwe Siasa pembeni.
 
Mmekosa hoja kujibu hii kashifa mnakimbilia kuntaja Lowassa.

Ndio maana watu wameamua kutukana kwasababu inakera kuona kuna unafiki.
kwani Lowasa hajatuibia? Pesa zake alizonunulia CHADEMA bilioni kumi ametoa wapi?
 
Kumbe yeye ndio anahusika na hii kashifa ya Lugumi!!!!
Hii wafanyalo ni sawa na baba wa familia mpu.mbavu ambaye watoto wake wanakufa kila kukicha kwa maleria. Anaambiwa atumie vyandarua anakataa kwa vile Mganga tapeli kamuaminisha kuwa jirani yake anawaloga watoto.
Wizi na wezi wa wazi tunawaona, lakini hii mijamaa kwa sababu imeaminishwa na "Mganga tapeli" kuwa Lowasa kawaibia basi hawashughuliki na lingine zaidi ya kuimba wimbo huo.
Nimeanza kuhisi kizazi hiki mpaka kifutike labda ndio nchi itatengemaa. Tujilaumu kwa kuzaliwa ndani ya kizazi hiki kilichosheheni watu wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom