Ww kama sio 71% basi utakuwa Kuna mtu yuko nyuma yako..
Maagizo kutoka juu!!!
Hivi huko "juu" huwa ni wapi?!
Fisadi yupi ? Umekariri Akili za Nape ? Richmond ni ya Kikwete , Escrow ni yenu, kivuko feki ni chako , mabehewa mabovu umekula pesa na Sasa umekula Rushwa pesa kitwanga na Lugumi !Hivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
jibu swali lowasa hajatuibia Watanzania?Hii wafanyalo ni sawa na baba wa familia mpu.mbavu ambaye watoto wake wanakufa kila kukicha kwa maleria. Anaambiwa atumie vyandarua anakataa kwa vile Mganga tapeli kamuaminisha kuwa jirani yake anawaloga watoto.
Wizi na wezi wa wazi tunawaona, lakini hii mijamaa kwa sababu imeaminishwa na "Mganga tapeli" kuwa Lowasa kawaibia basi hawashughuliki na lingine zaidi ya kuimba wimbo huo.
Nimeanza kuhisi kizazi hiki mpaka kifutike labda ndio nchi itatengemaa. Tujilaumu kwa kuzaliwa ndani ya kizazi hiki kilichosheheni watu wa aina hiyo
Lowassa anaingiaje hapa?Ww kama sio 71% basi utakuwa Kuna mtu yuko nyuma yako..
Na sijajua lengo la maada zako za chuki na uzushi lengo ni kutaka tumwamin Lowassa na kumuona ni sahihi au lengo la hizi maada zako ni lipi hasa?
Bwege ni tusi vile??!? Ngoja nisikie kutoka mahakamaniHivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
amepewa maagizo na fisadi lowasaMaagizo toka juu ya wapi mbinguni au? Si aseme wazi tu nani kampa maagizo, afumba nn?
Unatokwa povu kwa nni? Kwani huu SI ufisadiHivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
Lowasa kaingiaje hapo ? Kwanza Lowasa hana Ugonvi na kitwanga na Lugumi Yaani Lowasa hana mda na kuhangaika na watu hao , kamati ya Bunge na Dhambi ya kuiba pesa za umma ndivyo vimewaumbua , acha kumsingizia Lowasa uongo.hivi hujui Lowasa anatumia pesa zake za ufisadi kuiyumbisha serikali?
Haujaisha boss, amekimbia nchi baada ya takukuru kumuhoji masaa tisakwa hiyo Lowasa alipojiunga na Chadema ufisadi wake ukaisha?
Huwa ni mbinguni! Hata huyu wa sasa c; anasema alichaguliwa kimakosa yye ni wa malaika ambao wapo juu mbinguni!!
Maagizo kutoka juu!!!
Hivi huko "juu" huwa ni wapi?!
Mkuu juu ni mbinguni kwa Mungu tunavyoamini, labda wao ndo watufafanulie juu yao iko wapi? Ama Mungu ndo kawapa hayo maagizo
Maagizo kutoka juu!!!
Hivi huko "juu" huwa ni wapi?!
Vipi unataka kufungua kesi au?!jibu swali lowasa hajatuibia Watanzania?
Acha kujitia upofu ndugu ina maaana huo ufisadi hamuuoni auuHivi nyie UKAWA mna nini lakini? mbona mmelishikia bango sana hili suala? Fisadi mko nae CHADEMA na mmemuuzia chama mngaenza na hili kwanza
Hututoi kwenye reli!Pole sana!amepewa maagizo na fisadi lowasa