Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Ww kama sio 71% basi utakuwa Kuna mtu yuko nyuma yako..![]()
Maagizo kutoka juu!!!
Hivi huko "juu" huwa ni wapi?!
Na sijajua lengo la maada zako za chuki na uzushi lengo ni kutaka tumwamin Lowassa na kumuona ni sahihi au lengo la hizi maada zako ni lipi hasa?