Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Wadau mwenye data za huyu jamaa! Maana fb shule zake ni Uganda, na sioni kama alikuwa na uzalendo. Je kama ndiyo ma jaji wapo hivi nchi inaelekea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliingia UDSM akiwa kundi la 19 (toka kundi la kwanza la Samuel Kivuitu, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya) la wanafunzi waliojiunga na kitivo cha sheria mwaka 1979. Hapo kwenye faculty ya law alimkuta Prof. Saffari akiwa mwaka wa tatu na marehemu Prof. Jwani Mwaikusa na Kapinga, pamoja na msajili wa vyama John Tendwa wakiwa mwaka wa pili. Alihitimu degree yake ya kwanza hapo mlimani mwaka 1982 akiwaacha akina Dr. Harrison Mwakyembe, Mafuru na Prof. Palamagamba Kabudi wakiwa mwaka wa pili.
Alishawahi fanya kazi high court ya Mwanza, na sasa wanasema Sumbawanga.
Watu wanahisi yeye ni gamba lililokomaa kama la Kabudi.
Ongezea nyama.
Sasa nimepata picha JK aingia chuo kikuu na kupata yake.EL aingia chuo kikuu na kushangiliwa,kunafunua washauri wakuu wa kisiasa wa gamba gumu ni wasomi fulani wa kanda fulani,na leo hukumu ya Lema imeendesha na Judge amba anainfluence na ukanda fulani amabao Lema alishapingana na judge wa kwanza wa kutoka kanda fulani.Nalazimika kusema mchezo mchafu mwingine huo kuwa unamwaga ugali namwaga mboga kama ndio hivyo naliwe tusitishane hapa kama ni boti kuzama tuzame wote.Pia ikumbukwe Jaji Rwakibalira ni Mhaya. Kabla yake, Lema alimkataa Jaji Mujulizi (Mhaya) aliyekuwa anasikiliza keshi hii. Leama alidai hana imani na Jaji Mujulizi kwa sababu alihusika katika kashfa ya EPA akiwa IMMA ADVOCATES. Ombi la Lema lilikubaliwa na ndipo akateuliwa Jaji Rwakibalira kusikiliza hii kesi. "Kainzi" kanasema, Wahaya hawa wakakubaliana wamkomeshe huyu Lema na leo amekoma.
Kainzi haka kamelazimika kuleta harufu ya ukabila kwa kulazimishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa mahakama katika taifa letu. Siyo siri majaji wetu na mahakimu wanafanya kazi katika mazingira ya kushinikizwa na wanasiasa. Tunazo documents za Ma-DC na Ma RC wakiagiza mahakimu wafanye mambo fulani ya ajabu ajabu.
Sambamba na mashinikizo ya wanasiasa kupitia majaji wafawidhi, kuna tabia ya majaji na mahakimu kulindana wakidai adui yao ni mmoja. Kesi ya nyani kumpelekea ngedere ni sawa na kesi ya Mujulizi kumpelekea Rwakibarila.
Bifu la Jaji Mujulizi juu ya Chadema halina kiwango.
So what?
[TR][TR]
[TD]JINALA WAZIRI[/TD]
[TD]WIZARA YAKE[/TD]
[TD]ZIARA ALIYOANZISHA[/TD]
[TD]ALICHOSEMA KATIKA ZIARA[/TD]
[TD]MAKOSA NINAYOYAONA HAPA[/TD]
[/TR]