Jaji wa Lema Aloycius Mujulizi Je ni Mtanzania wa kuzaliwa au aligawiwa?

Jaji wa Lema Aloycius Mujulizi Je ni Mtanzania wa kuzaliwa au aligawiwa?

nimefuatilia taarifa mbali mbali zinazohusu kesi ya lema,kipindi cha ushahidi,utetezi hadi leo hii hukumu.Jaji aliyyesimamia kesi hii anaitwa Rwakibalila kama sijakosea jina lake. Historia huwa inafanya mtu mmuelewe kwa undani mazuri yake,mabaya yake, anapendelea nini na hapendi nini. Pia uwapa historia yake ya shule, utumishi na mikasa mingine ya maisha. Hii umpa mtu anayepata historia ya mtu kuweza kumjaji mtu ata kama yeye ni jaji. Kuna mwanajamvi yeyote mwenye historia ya mtu huyu?kuna mjadala mrefu humu jamvini unaendelea wa wana sheria kuhusu kesi hii kuwa ni sawa kumvua ubunge lema au si sawa.Nafikiri historia yake itatupa ni mtu wa wa aina gani. mwisho swali hukumu yake imeangalia political consequence vs economical consequences ikiwa kila mtanzania anaona hali ya maisha ilivyo?
Nawasilisha
 
Aliingia UDSM akiwa kundi la 19 (toka kundi la kwanza la Samuel Kivuitu, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya) la wanafunzi waliojiunga na kitivo cha sheria mwaka 1979. Hapo kwenye faculty ya law alimkuta Prof. Saffari akiwa mwaka wa tatu na marehemu Prof. Jwani Mwaikusa na Kapinga, pamoja na msajili wa vyama John Tendwa wakiwa mwaka wa pili. Alihitimu degree yake ya kwanza hapo mlimani mwaka 1982 akiwaacha akina Dr. Harrison Mwakyembe, Mafuru na Prof. Palamagamba Kabudi wakiwa mwaka wa pili.
Alishawahi fanya kazi high court ya Mwanza, na sasa wanasema Sumbawanga.
Watu wanahisi yeye ni gamba lililokomaa kama la Kabudi.
Ongezea nyama.
 
Naendeleza: Mwaka 2012 akavuta mziki mrefu toka kwa CCM amvue ubunge Lema
 
Miaka m2 iliyopita alihukumu kesi za maalbino kunyongwa hadi kufa, akiwa mahakama kuu mza, ikaaenda hadi rufaa wakashinndwa, alisoma na baba yangu primary alikua kichwa sana, kwa sasa ni judge in charge ruvuma akitokea mahakama mza
 
Kwa wanaomfahamu vizuri ana ukichaa, yaani akili zake zina matatizo. sina hakika na uadilifu wake ila kichwa chake hakijatulia
 
Pia ikumbukwe Jaji Rwakibalira ni Mhaya. Kabla yake, Lema alimkataa Jaji Mujulizi (Mhaya) aliyekuwa anasikiliza keshi hii. Leama alidai hana imani na Jaji Mujulizi kwa sababu alihusika katika kashfa ya EPA akiwa IMMA ADVOCATES. Ombi la Lema lilikubaliwa na ndipo akateuliwa Jaji Rwakibalira kusikiliza hii kesi. "Kainzi" kanasema, Wahaya hawa wakakubaliana wamkomeshe huyu Lema na leo amekoma.

Kainzi haka kamelazimika kuleta harufu ya ukabila kwa kulazimishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa mahakama katika taifa letu. Siyo siri majaji wetu na mahakimu wanafanya kazi katika mazingira ya kushinikizwa na wanasiasa. Tunazo documents za Ma-DC na Ma RC wakiagiza mahakimu wafanye mambo fulani ya ajabu ajabu.

Sambamba na mashinikizo ya wanasiasa kupitia majaji wafawidhi, kuna tabia ya majaji na mahakimu kulindana wakidai adui yao ni mmoja. Kesi ya nyani kumpelekea ngedere ni sawa na kesi ya Mujulizi kumpelekea Rwakibarila.

Bifu la Jaji Mujulizi juu ya Chadema halina kiwango.
 
Aliingia UDSM akiwa kundi la 19 (toka kundi la kwanza la Samuel Kivuitu, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya) la wanafunzi waliojiunga na kitivo cha sheria mwaka 1979. Hapo kwenye faculty ya law alimkuta Prof. Saffari akiwa mwaka wa tatu na marehemu Prof. Jwani Mwaikusa na Kapinga, pamoja na msajili wa vyama John Tendwa wakiwa mwaka wa pili. Alihitimu degree yake ya kwanza hapo mlimani mwaka 1982 akiwaacha akina Dr. Harrison Mwakyembe, Mafuru na Prof. Palamagamba Kabudi wakiwa mwaka wa pili.
Alishawahi fanya kazi high court ya Mwanza, na sasa wanasema Sumbawanga.
Watu wanahisi yeye ni gamba lililokomaa kama la Kabudi.
Ongezea nyama.

Gamba la Palamagamba Kabudi GUMU sana! Alishawahi kuwa mwndishi wa habari wa Uhuru na Mzalendo! U CCM wake kaujamwisha!
 
Pia ikumbukwe Jaji Rwakibalira ni Mhaya. Kabla yake, Lema alimkataa Jaji Mujulizi (Mhaya) aliyekuwa anasikiliza keshi hii. Leama alidai hana imani na Jaji Mujulizi kwa sababu alihusika katika kashfa ya EPA akiwa IMMA ADVOCATES. Ombi la Lema lilikubaliwa na ndipo akateuliwa Jaji Rwakibalira kusikiliza hii kesi. "Kainzi" kanasema, Wahaya hawa wakakubaliana wamkomeshe huyu Lema na leo amekoma.

Kainzi haka kamelazimika kuleta harufu ya ukabila kwa kulazimishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa mahakama katika taifa letu. Siyo siri majaji wetu na mahakimu wanafanya kazi katika mazingira ya kushinikizwa na wanasiasa. Tunazo documents za Ma-DC na Ma RC wakiagiza mahakimu wafanye mambo fulani ya ajabu ajabu.

Sambamba na mashinikizo ya wanasiasa kupitia majaji wafawidhi, kuna tabia ya majaji na mahakimu kulindana wakidai adui yao ni mmoja. Kesi ya nyani kumpelekea ngedere ni sawa na kesi ya Mujulizi kumpelekea Rwakibarila.

Bifu la Jaji Mujulizi juu ya Chadema halina kiwango.
Sasa nimepata picha JK aingia chuo kikuu na kupata yake.EL aingia chuo kikuu na kushangiliwa,kunafunua washauri wakuu wa kisiasa wa gamba gumu ni wasomi fulani wa kanda fulani,na leo hukumu ya Lema imeendesha na Judge amba anainfluence na ukanda fulani amabao Lema alishapingana na judge wa kwanza wa kutoka kanda fulani.Nalazimika kusema mchezo mchafu mwingine huo kuwa unamwaga ugali namwaga mboga kama ndio hivyo naliwe tusitishane hapa kama ni boti kuzama tuzame wote.

Ila kwa hili la Lema CDM msilaumu CCM ebu fanyeni utafiti wa kina uenda mkapata idea nani aliyewaumiza msigeneralise issue hii kwa kuwa mnaweza kuwa mmeumizwa na influence ya CCM,kumbe adui yenu ni mtu mmoja,ambae mnaweza kumdhibiti kama mlivyomdhibiti arumeru.
 
Kituo chake cha kazi kiko Sumbawanga.
 
Mungu atawaabisha wote waliohujumu ubunge wa Lema
 
Nadhani huyo mtoa hukumu sasa hivi kila anapopita anahi inzi!Hamna namna keshajinyea!INZI wanae tu!Amelitia taifa hasara yakijinga,fedha itakayotumika hapo A town kufanya uchaguzi ambao matokeo yake yapo wazi ingeweza kusomesha ndugu zake kijijini kwao wakawa mpilato wamaana kuliko yeye miaka ijayo!Kweli ni AIBU!
 
Naendeleza: Mwaka 2012 akavuta mziki mrefu toka kwa CCM amvue ubunge Lema[/QUOTE]
Wana jamvi, hili suala huwa linanitatiza sana katika teuzi nyingi za JK .Je wewe as a great thinker unadhani JK huwa ana consider criteria zipi katika teuzi zake?
Kama huyu waziri alithubutu kuwaambia majaji wanawake mwezi desemba 2011 maneno haya je haiwezekani huwa wanatowa maelekekezo kama haya hapa chini kwa jaji wa Arusha ? Kwani hadi leo hakuna jaji aliyejiuliza maelekezo haya ya Waziri Mulugo.
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]JINALA WAZIRI[/TD]
[TD]WIZARA YAKE[/TD]
[TD]ZIARA ALIYOANZISHA[/TD]
[TD]ALICHOSEMA KATIKA ZIARA[/TD]
[TD]MAKOSA NINAYOYAONA HAPA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MULUGO[/TD]
[TD]ELIMU[/TD]
[TD]MAHAKAMA KUU YA DSM[/TD]
[TD]AKIONGEA NA MAJAJI WANAWAKE AWAAMBIA WATUNGE SHERIA ZA KUZUIA AJIRA YA NGONO[/TD]
[TD]KAMA BUNGE LIMESHINDWA KUTUNGA SHERIA ZA KUPAMBA NA RUSHWA YA NGONO HIVI NAONA KUNA KOSA SERIKALIKUTOA MAELEKEZO KWA MHIMILI HUU.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

sasa uteuzi wa watu hawa nadhani lazima kuna tatizo la watu wenyewe hawa wote haiwezi kuwa coincidence kwamba wanabwabwaja tu. kuna ka ulevi fulani kwenye mihimili hii! serikali bunge na mahakama dawa yao ni kuimarisha muhimili wa bunge tumpe tena LEMA ubunge.​
 
Back
Top Bottom