Jaji wa Lema Aloycius Mujulizi Je ni Mtanzania wa kuzaliwa au aligawiwa?

Jaji wa Lema Aloycius Mujulizi Je ni Mtanzania wa kuzaliwa au aligawiwa?

Miaka m2 iliyopita alihukumu kesi za maalbino kunyongwa hadi kufa, akiwa mahakama kuu mza, ikaaenda hadi rufaa wakashinndwa, alisoma na baba yangu primary alikua kichwa sana, kwa sasa ni judge in charge ruvuma akitokea mahakama mza

mwanasheria aliyebobea na makini hawezi kupingana na katiba yake 'haki ya kuishi'. Atakuwa hajasoma HUMAN RIGHT LAW...! Nilivyolijua kabila lake sikupata shida!.
 
Msajili wa mahakama MHAYA,Naibu Msajili MHAYA,Chief Accountant MHAYA,full ukabila hapo mahakama
 
Nakubaliana na wewe ndugu yangu uhasama wote Utafikia mwisho kwa kumtegemea Mungu
 
Wote humu mmeshakula viroba hamko sawa mkalale
 
[h=3]Je Wajua? Hawa ndio Walio Fungua Kesi Dhidi ya Mh. Lema[/h]
554479_10150731063643620_818678619_9412527_1536344222_n.jpg
 
Mahakama imebaka demokrasia,arusha na haya ni matawi ya salva rweyemamu kila mahali kitaeleweka tu!
 
Hivi kweli huyu jaji mwenye elimu ya kutosha anadriki kutumiwa na wanasiasa hivyo? Lema angekuwa ccm angevuliwa ubunge kweli? Alalways I believe that "mahakama na Polisi vitaharibu amani ya nchi kutokana na kutokufuata maadili ya kazi zao". Lakini ccm watambue kuwa huko ni kutapatapa na mwisho wao umefika. CHADEMA itashinda kwa kishindo na hamna kukata rufaa. it's shame.a
 
Hivi kweli huyu jaji mwenye elimu ya kutosha anadriki kutumiwa na wanasiasa hivyo? Lema angekuwa ccm angevuliwa ubunge kweli? Alalways I believe that "mahakama na Polisi vitaharibu amani ya nchi kutokana na kutokufuata maadili ya kazi zao". Lakini ccm watambue kuwa huko ni kutapatapa na mwisho wao umefika. CHADEMA itashinda kwa kishindo na hamna kukata rufaa. it's shame.a
 
Msajili wa mahakama MHAYA,Naibu Msajili MHAYA,Chief Accountant MHAYA,full ukabila hapo mahakama
toa ukabila jadili hoja.kuna majaji wahaya na wameweka precedent nzuri ktk hukumu zao.hapa namuongelea Lugakingira kama umesoma maamuzi yake ambayo upande wa serikali walikua wanapata hari ngumu.
 
nashukuru kwa aliyeweka profile ya rwakibalira. dhambi ya watanzania wanaolala na njaa wakati yeye anatoa hukumu za kuitisha uchaguzi mwingine haitamuacha.ni pesa kiasi gani itatumika kwa mambo haya yasiyo kichwa na mguu???jana nimeudhuria kesi ya nsanzugwanko vs mh. zaituni lakini kesi hiyo nayo ni haya haya yasiyo na mbele wala nyuma.
 
Pia ikumbukwe Jaji Rwakibalira ni Mhaya. Kabla yake, Lema alimkataa Jaji Mujulizi (Mhaya) aliyekuwa anasikiliza keshi hii. Leama alidai hana imani na Jaji Mujulizi kwa sababu alihusika katika kashfa ya EPA akiwa IMMA ADVOCATES. Ombi la Lema lilikubaliwa na ndipo akateuliwa Jaji Rwakibalira kusikiliza hii kesi. "Kainzi" kanasema, Wahaya hawa wakakubaliana wamkomeshe huyu Lema na leo amekoma.

Kainzi haka kamelazimika kuleta harufu ya ukabila kwa kulazimishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa mahakama katika taifa letu. Siyo siri majaji wetu na mahakimu wanafanya kazi katika mazingira ya kushinikizwa na wanasiasa. Tunazo documents za Ma-DC na Ma RC wakiagiza mahakimu wafanye mambo fulani ya ajabu ajabu.

Sambamba na mashinikizo ya wanasiasa kupitia majaji wafawidhi, kuna tabia ya majaji na mahakimu kulindana wakidai adui yao ni mmoja. Kesi ya nyani kumpelekea ngedere ni sawa na kesi ya Mujulizi kumpelekea Rwakibarila.

Bifu la Jaji Mujulizi juu ya Chadema halina kiwango.

Mkuu una maana gani kusema "Wahaya wamekubaliana kumkomesha LEMA!" si hilo tu hata post yako umeanza na remarks isemayo "ikumbukwe jaji Rwakibalira ni MHAYA" kwa mawazo yako unafikili hiyo inatoa impression gani kwa wasomaji!

We hapa unasema Lema aliwahi kumkataa jaji Mjulizi kusikiliza kesi yake, sasa kama angekuwa na bifu na Wahaya kwa nini akuweka kipingamizi kwa Jaji Rwakibalira?

Kwa mawazo yangu, naona wana JF tupatiwe nakala ya hukumu hili tujuwe kilicho jili wakati wa kutoa hukumu, cha muhimu hapa ni kujilidhisha kwamba sheria imefuatwa basi, msijaribu ku-play card ya ukabila hapa.
 
Nashindwa kujua hapa, je hii hukumu jaji kaitoa kwa kufuata sheria au matakwa ya watu? Kama ameitoa kwa kufuata sheria basi hajajua jinsi gani alivyoigharimu ccm na sitashangaa katimuliwa kazi siku zijazo, kama kafata matakwa ya mtu, watu au ccm wenyewe basi kafanya vizuri sana kwa kuwa mda si mrefu watavuna walichokipanda.
 
Msajili wa mahakama MHAYA,Naibu Msajili MHAYA,Chief Accountant MHAYA,full ukabila hapo mahakama

Mkuu malalamiko kama haya yaliwahi kutolewa wakati wa enzi za Mwalimu J.K.Nyerere, tafadhali jaribu kutafuta kwenye archive Mwalimu alicho wajibu walalamishi - nafikili utajifunza kitu.

Ni takribani miongo minne tangu Mwalimu awape somo watu waliokuwa wanataka kupandikiza mbegu za chuki kwa ku-target makabila fulani, lakini remnant ya watu wenye mawazo kama hayo bado wapo "alive and kicking" Nimelazimika kulisema hili kwa kuwa alipendezi kusema kweli.

Ntatoa mfano: Unaweza kumsikia mtu akisema "Walio udhulia kikao walikua ni John, Joseph, Abdallah na yule Mchaga au na yule Mhaya" yaani baadhi ya watu wanakimbilia kutaja kabila badala ya majina, hata kama jina lako linajulikana watalazimisha kutaja kabila lako tu - mimi tabia hii huwa inanikera sana, maana najua ulazimishaji wao ku-address baadhi ya watu kwa makabila yao badala ya majina siyo kwa nia nzuri.
 
mwanasheria aliyebobea na makini hawezi kupingana na katiba yake 'haki ya kuishi'. Atakuwa hajasoma HUMAN RIGHT LAW...! Nilivyolijua kabila lake sikupata shida!.


Ni vizuri kabla hatujaandika tutumie hata dakika moja kutafakari. Suala la adhabu ya kifo mheshimiwa kaikuta na hana uwezo wa kuibadilisha hata kama haitaki
 
Sipati picha Tundu Lisu akipata kesi hao majaji aliokuwa anasema hawana sifa watatoa uamuzi gani kama passion ya jaji inaonekana kwenye hukumu?
 
Watu wenye kuitafsiri sheria kwa lateral rule wana matatizo sana ila huyo jaji anatumia mischief rule .ebu angali katiba ya nchi inavyosema.ibara ya 14 inasema kila mtu ana haki ya kuishi lakini hapo hapo ibara26 ya imetoa wajibu wa raia ambao kutii sheria ya nchi,ibara 30 inatoa mipaka ya haki za binadamu pia inaipa mwanya adhabu ya kifo kuchukua nafasi . acheni siasa katika uwanja wa sheria maana ni mpana sana.kumbuka kuwa kila haki ina wajibu.
 
Back
Top Bottom