Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Walioba alianguka na kupatiwa huduma ya kwanza lakini baada ya dakika kadhaa badaye akafanikiwa kusimama na kusaidiwa kutolewa nje ya ukumbi huo akiwa anatembea kwa kushikiliwa.
Watu wabaya sana nyinyi..kwa nini mnamu-expose Mzee kwenye hatari..? Kitu gani mnataka kusikia hajawahi kukisema..? Nyinyi jukumu lenu ni nini? akishasema nchi haina demokrasia halafu mnafanya nini, mnasubiri tena kumwalika siku nyingine..pumbavu kabisa!
SwadaktaKwa umri wa Mzee Warioba, wangemruhusu awe anakaa asisimame.
Siyo kukaa tu. Alitakiwa atulie nyumbani asijihusishe kabisa na shughuli zozote ziwe za kisiasa, uchumi na kijamii.Kwa umri wa Mzee Warioba, wangemruhusu awe anakaa asisimame.
Ok.Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba amepata changamoto ya kiafya wakati akihutubia katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 ambapo wamekutana kuzungumza hali ya demokrasia Tanzania na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Walioba alianguka na kupatiwa huduma ya kwanza lakini baada ya dakika kadhaa badaye akafanikiwa kusimama na kusaidiwa kutolewa nje ya ukumbi huo akiwa anatembea kwa kushikiliwa.
Muhimu aangalie pia anaalikwa na nani. Genge la ccm, chaumma, act na nccr si genge rafiki kwake.Kwa umri wa Mzee Warioba, wangemruhusu awe anakaa asisimame.
Nimeipenda comment yako.Wazee wana tamaa sana ,umri huo si watulie tu ...Hata Rais alitakiwa awe chini ya miaka 60 ,wazee ni gharama sana ;wana changamoto za kiafya...Mwingine ,miaka zaidi ya sabini ila kila siku yuko safarini ,hata pesa wanazopata wanapeleka wapi?
Wazee wanahesabika ni kundi tegemezi ,sasa kwa nn wasiacha vijana hizo nafasi?
Sijui hizo mike kama salama..Muhimu aangalie pia anaalikwa na nani. Genge la ccm, chaumma, act na nccr si genge rafiki kwake.
Ukiangalia hata nchi kama USA ,yaani vijana wote wanaenda kumpa Urais lizee halina hata nuru ..Nimeipenda comment yako.
Ujumbe umfikie mzee masato wasira.Wazee wanahesabika ni kundi tegemezi ,sasa kwa nn wasiacha vijana hizo nafasi?