Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

Ndio wanamuweka kwenye hatari Kama mtu anataka maoni yake wamfute nyumbani
..hapo ndipo unaona upeo wa watanzania wengi ni mdogo sana, kwa teknolojia ilipo kwa sasa mikutano inakuwa hybreed, wanaoweza kuhudhuria physically na virtual..wanashindwa nini waandaaji kumuunganisha Mzee Warioba kuongea virtual akiwa nyumbani tena amekaa..kitabibu na kimaadili mtu wa umri wa Mzee Warioba si sawa kumchanganya kwenye mikusanyiko ya watu wengi wa rika si lake..Wazee wakat mwingine wako na matatizo ya kiafya..kwenda haja ndg mara kwa mara, kutosikia vzr, uoni hafifu nk na hivyo anahitaji PRIVACY, mwacheni Mzee Warioba apumzike alishasema yote..pambaneni kuyatekeleza, mnataka aseme kitu gani ambacho mnadhani bado hajakisema? Tumieni akili..!
 
MWENYEZI MUNGU AMPE AFYA NJEMA ALEJEE IMARA ZAIDI kinachosikitisha kuna mtu anacheka hapo kwenye video daaah hujafa hujaumbika
MWISHO WA KUNUKUUU!
 
Wenzenu kina nani? Toa mfano.

Unafahamu umri wa kustaafu wa nchi kama marekani?

Unamzungumzia Warioba ukisema “watu wenye miaka 60 watoke kwenye uzalishaji, huo mfano wako una relevance gani?

Au ni chuki zimekupofusha?
Angalia kundi la hao wako kundi gani ,unazungumzia USA wakati wenzio wanasoma life expectancy ulikuwa wapi?

Miaka hiyo kibongo bongo hayupo kwenye uzalishaji ,waliokuwa wanaruhusiwa kama watumishi ni lecturers hasa professors kwa wababu walikuwa wachache ila leo madogo miaka chini ya 30 wana masters ,wanaweza kufundisha vyuo.
 
Anaendeleaje Mwamba Warioba Kigogo? Get well soon Joseph Sinde Warioba.
 
Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba amepata changamoto ya kiafya wakati akihutubia katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 ambapo wamekutana kuzungumza hali ya demokrasia Tanzania na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025.

Walioba alianguka na kupatiwa huduma ya kwanza lakini baada ya dakika kadhaa badaye akafanikiwa kusimama na kusaidiwa kutolewa nje ya ukumbi huo akiwa anatembea kwa kushikiliwa.
Wazee kama Warioba wanapaswa wajiunge kwenye mikutano kama hii kwa njia ya "Google meeting".

Pamoja na umuhimu wake katika mijadala kama hii, lazima taratibu zifanywe ili ashiriki akiwa yupo nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom